Asma Ali Hassan Mwinyi ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Welezo Zanzibar. Ushindi huo unampa nafasi kubwa ya kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kunti Majala ameongoza kwenye kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Chemba.
Kunti alikuwa mmoja kati ya wabunge 19 wa viti maalumu kupitia Chadema ambao waliingia kwenye mgogoro na chama...
Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
Mbunge aliyemaliza muda wake jimbo la Geita na mtia nia jimbo hilo hilo Joseph Msukuma amejipatia ushindi katika kura za maoni kura 5251.
Soma pia: Ujumbe kwa Mbunge Msukuma: Kama unataka tuwaige China tusiiche kubana Uhuru wa Maoni, Tuwaige basi hadi Kuwanyonga na kuwapiga risasi Mafisadi
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kuwania ubunge wa Jimbo la Serengeti, akimshinda kwa mbali mbunge aliyemaliza muda wake, Amsabi Amri
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na mratibu wa uchaguzi huo...
Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Bukoba Vijijini kimetangaza matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge wa Jimbo hilo ambapo aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Dkt. Jason Rweikiza ameongoza kwa kupata kura 6,465 huku mgombea mwenzake aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM, mkoani Kagera, Faris Buruhan...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete kwa bashasha akaomba TOT Band waimbe wimbo maarufu wa hamasa "Chama Cha Mapinduzi... CCM No. 1!" Agosti 4, 2015 Makao Makuu ya Chama hicho, Lumumba.
Wakuu!
Waswahili wanasema uUsiamini vicheko!
Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini, ambapo Neto Kapalata ameshinda kwa kura 2,570 dhidi ya kada mkongwe wa chama hicho na mbunge...
Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya na Esther Mathiko, wameshindwa kuongoza katika kura maoni baada ya Wabunge wanaotetea nafasi zao Michael Kembaki wa Jimbo la Tarime Mjini na Robert...
Wakuu habari,
Kuna kitu sikielewi hapa yaani kama Mgombea hajapita kura za maoni ya kumuwezesha awe kiongozi inakuaje tena baadae anakuja kutgeuliwa mkuu wa wilaya au Mkoa kama wajumbe waliona hana vigezo apo awali
Maana nimekua nikisikia Mgombea fulani amekatwa ila amewekwa pembeni asubiri...
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa UMMA(CHAUMMA)zamani CHADEMA Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini
Madoga amechukua fomu hiyo Leo Agost 4,2025 Jijini Dodoma ambapo pia aliandaa chakula Cha mchana(UBWABWA)Kwa wanachama wa CHAUMMA na Wananchi wa...
Wakuu
===
Wasanii wetu mbona wanamaisha magumu alafu wanakuwa mstari wa mbele kuwa kwenye kufanya kampeni au ndiyo umaskini wenyewe.
Kampeni zinapaswa kuwa mahali pa hoja, mijadala, maswali na majibu. Lakini burudani inafanya watu wasikie mziki, wasahau matatizo yao, halafu wanapiga kura kwa...
Here we go !
Tunahitaji viongozi wanofikika wasomi na ambao Elimu yao haina utata.
Asanteni wanaSikonge kwa kumpuunzisha Bwana Joseph Kakunda.
Cc Pascal Mayalla.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini anayetetea nafasi yake, Shabani Ng’enda, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 2,168.
Clayton Revocatus Chipando maarudu kama BabaLevo ameshika nafasi ya pili kwa kupata kura 2,080, huku Mwandishi wa Habari Baruani...
MAKUMBUSHO YAWAKA BAADA YA MUHARAMI CHUMA KUTANGAZWA MSHINDI – WAJUMBE WAPINGA, WATAKA UCHAGUZI URUDIWE
Hali ya sintofahamu Iliibuka katika Kata ya Makumbusho, Wilaya ya Kinondoni, baada ya kutangazwa kwa Muharami Rajabu Chuma kuwa mshindi wa kura za maoni za udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 1,539 kati ya kura halali 3,288 zilizopigwa, na hivyo kutetea nafasi yake ya kuwania tena ubunge.
Matokeo hayo yametangazwa leo...
Mbunge anayetetea kiti chake katika Jimbo la Muheza Mkoani Tanga Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amepata ushindi wa kishindo katika kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe hii leo Jimboni hapo kwa kupata kura 9030 ambazo ni sawa na asilimia 91.
Katika ushindi huo, MwanaFA ameongoza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.