GE2025 Mchengerwa: Tutamuomba Rais Rufiji iwe Mkoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,181
Reaction score
17,654
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo yaliyopatikana wilayani hapo atapeleka Ombi Halmashauri hiyo kuwa Mkoa.

Kwa kuwa mmejimilikisha nchi, ni mali yenu fanyeni mtakavyo.
 
Kumbe kupata MKOA ni rahisi hivyo??..mnaacha kuugawa mkoa wa Morogoro, unawaza Rufiji kwa kuwa ni mkwe..UJINGA
 
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo yaliyopatikana wilayani hapo atapeleka Ombi Halmashauri hiyo kuwa Mkoa.

Ombeni kila kitu muda ni wenu, rufiji iwe mkoa mapori matupu, ina uchumi gani rufiji
 
Sasa shida ni nini hapo kama kilwa,Rufiji,kibiti,mafia ,na mkuranga kuwa mkoa?
 
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo yaliyopatikana wilayani hapo atapeleka Ombi Halmashauri hiyo kuwa Mkoa.

Hapa ndio penye shida. Nchi haina utaratibu wa kisheria wa kuanzisha mkoa, ni discretion ya rais. Kuna umuhimu wa kuandika katiba mpya. Haiwezekani mimi nikiwa Rais nifanye Kijiji changu kuwa mkoa. Tuliona hivyo kule chato leo tena Rufiji. Ifike wakati tuseme wilaya fulani imefikia vigezo vya kuwa mkoa na siyo kumwomba Rais
 
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo yaliyopatikana wilayani hapo atapeleka Ombi Halmashauri hiyo kuwa Mkoa.

Maujinga jinga yanaendelea
 
NINGEFURAI RUFIJI IKAWA MKOA,UKAITWA MKOA WA RAFTA,ILI KUVUTIA UTALII ZAIDI HAPO./RAFTA CITY CENTER 😂
 
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo yaliyopatikana wilayani hapo atapeleka Ombi Halmashauri hiyo kuwa Mkoa.

Aombe iwe nchi ili walau nchi inayobaki tupumue
 
Yaleyale ya Chato. Ndio maana watu wanasema mwisho wa SSH unaweza kuwa sawa na wa bosi wake wa zamani, anarudia makosa yaleyale.
 
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo yaliyopatikana wilayani hapo atapeleka Ombi Halmashauri hiyo kuwa Mkoa.

Ameenda kukamilisha tu ratiba
Hii nchi bwana😁
 
Ila kiukweli mkoa waPeani ugawanywe tu, hivi mkazi wa rufiji akiwa na shida ya kwenda ofisi za mkoa anasafiri umbali gani
 
Back
Top Bottom