Huyo Job Ndugai sidhani kama ana akili timamu,Kwa kile ambacho alifanyiwa na chama chake sikudhani kama angegombea tena na kujidharirisha kiasi hiki !
Unapokuwa Spika wa Bunge wewe ni kiongozi mkubwa na alipaswa kustaafu kwasababu,pamoja na kwamba hatokuwa sehemu ya Bunge lakini bado ataendelea kulipwa
1.Kulipwa 80 % ya mshahara anaolipwa Spika aliyeko madarakani,hii pesa atapokea hadi siku anakufa
2.Atapewa gari na serikali aina ya VX ambalo litakuwa lake binafsi
3.Atapewa dereva ambaye atakuwa analipwa na serikali
4.Atakuwa anapewa Lita za Mafuta zisizopungua 70 kila wiki
5.Bado atapewa kiinua mgongo fedha kiasi Cha kutosha.
Uroho wa Madaraka unawatesa sana Hawa Viumbe !