uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Sina Taarifa ya Warioba kushikiliwa nyumbani kwake, jambo hilo siyo factual

    Mwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote. Katika mahojiano ya moja kwa moja usiku wa leo, aliyekuwa mbunge na mwanasiasa machachari, Mhe. Humphrey Polepole, alipokea swali kutoka kwa mmoja wa Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora). Swali hilo...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nashauri Lissu akitoka cage aende zake ibiza apigwe na upepo wa bahari aachane na wabongo, maybe they are not worth fighting for?

    Nitukane unavyotaka.. Ila tambua wabongo nyosoo, wabongo balaa
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 James: Mlitaka Mbowe aseme nini wakati wajibu wake alishaamaliza

    Mtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. James, ameyasema...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeriko Nyerere: CHADEMA Imekufa, Kubali kataa nuna lakini huo ndiyo ukweli, Niliwaambia Chama hiki mkimpa Tundu Lissu haitafika miezi mitatu

    Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Miezi mitatu ijayo itabadili Siasa za Tanzania

    Mwenyekiti wa zamani wa ACT Wazalendo akiwa kwenye mkutano maalum wa kumteua mgombea urais leo Agosti 6,2025 amesema ,“Wanazuoni, watafiti, kuanzia leo waanze kushika kalamu zao, miezi mitatu inayokuja inakwenda kubadili siasa za Tanzania moja kwa moja.” – Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wa bure kwa Luhaga Mpina kuhusu kugombea urais kupitia ACT-Wazalendo

    Mhe. Mpina nimekuona kwenye clip na pia kwenye mitandao ya kijamii kuwa unashawishiwa na ACT- Wazalendo kuwa ugombee nafasi ya Urais kupitia Chama hicho. Nakupa ushauri wa bure. ACHA KABISA wazo hilo. Kama unataka cheo chochote kupitia siasa gombea nafasi ya ubunge hata kwa kupitia Chama chao...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vurugu zaibuka kwenye mkutano wa wajumbe CUF. Lipumba adaiwa kukimbia kwenye mkutano

    Ndani mtiti nje mtiti. Ndivyo tunavyoweza kusema, baada ya ukumbi wa Shabani Mloo wa Chama cha Wananchi (CUF), uliotakiwa kutumiwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili kupitisha ilani na kuteua majina ya wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kugeuka uwanja wa ngumi. Mtiti...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ado Shaibu: Wapo wengi wanatoka CCM wanabisha hodi ACT, tunawakaribisha

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho, leo Agosti 6, 2025, amesema kuna wimbi kubwa la Watu wanaotaka kujiunga nao wakitokea CCM na Vyama vingine vya upinzani na kwamba wao wanawakaribisha.
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ado Shaibu: ACT Wazalendo tuna wagombea, Udiwani kila Kata na Ubunge majimbo yote

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu, amesema kuwa Chama hicho kinao wagombea Udiwani kwenye Kata zote Tanzania Bara na Zanzibar. Lakini pia amessema kwamba tayari kwa Zanzibar wameshapata wagombea kwenye majimbo yote ya Zanzibar na Tanzania Bara. Aidha amesema kwamba kuna...
  11. mngony

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni hatari kwa mustakabali wa Umoja wa Kitaifa, kwa Mgombea kuandika bango la kuomba kura kwa lugha ya kikabila, Mwl Nyerere asingekubali litokee

    Inasikitisha kuona sasa tunaomba kura kwa lugha za kikabila? Je tunataka wenye kabila letu tu watuchague au kuwaonesha kuwa ni wa nyumbani? Kabila limekuwa kigezo? Hii ni hatari sana, nchu yetu haina ukabila na watu wamechanganyikana. Sasa mimi Mngoni niko Ngara ukitumua...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Makame anashauri Polepole angemuiga Dr. Mpango kujiuzuru

    Mgombea mwenza wa urais kupitia chama cha ADA TADEA, Ally Makame, amesema kuwa hatua ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kujiuzulu hadharani ililenga kuleta mvutano kati ya wananchi na serikali. Soma pia: Ndugai, Majaliwa na Mpango wamepigwa bao na Polepole...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Changisha changisha ya Heche yafikisha Milion 5 kumuweka huru Mchungaji Saniel

    Feedback kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, ''Asanteni watanzania kwa kumchangia Mchungaji Saniel Sosoa ambaye amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya 5M kwa kudaiwa kuikashifu serikali ya CCM (cyber bullying and false information). Kwa umoja wetu tumeweza kumchangia...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mpina kuwania uraisi kupitia ACT

    Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kufuatia kikao kilichofanyika jana Jumanne, Agosti 5, 2025 katika makao makuu ya chama hicho, kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema. Soma pia: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa Kigoma Mjini alia na matokeo ya ubunge

    Walioko madarakani hawana msaada na sisi ndio maana tulitamani kubadilisha mfumo aingie baba levo,Kwenye kura Baba levo amaeshinda ila kilichofanyika ni wizi" Mmoja kati ya Wajumbe waliopiga kura za maoni jana amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea jinsi gani anajiskia baada ya Baba levo...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM Kizota waandamana kupinga matokeo

    Zaidi ya wanachama elfu mbili wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kata ya Kizota jijini Dodoma wameandama kwa mabango kupaza sauti zao wakipinga matokeo ya kura za maoni za nafasi ya udiwani yaliyotangazwa huku wakidai kuwa zoezi hilo lilikuwa sio la wazi ambapo wameiomba Kamati ya Siasa ya Wilaya ya...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yatoa Siku Saba CCM kujieleza, uteuzi wa Samia kugombea Urais

    Mahakama Kuu ya Dodoma ilipofunguliwa kesi ya kikatiba na kada wa Chama cha Mapinduzi Mch. Dkt. Godfrey Malisa imesikiliza kwa mara ya kwanza kesi hiyo Agosti 5,2025. Akiongea na waandishi wa habari Dkt. Malissa amesema hakimu anayesimamia kesi hiyo amesema kuna umuhimu wa kesi hiyo kusikilizwa...
  18. michu03

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya marais wa Tanzania: Nani ameacha urithi bora na funzo gani kwa uchaguzi mkuu 2025?

    🗳️ TATHMINI YA MARAIS WA TANZANIA: NANI AMEACHA URITHI BORA NA FUNZO GANI KWA UCHAGUZI MKUU 2025? 🔎 Utangulizi: Katika kipindi hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, ni muhimu sana kwa Watanzania kujitathmini – sio tu kwa kutumia hisia au propaganda – bali kwa kutumia akili, takwimu, na...
  19. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo la Kimkakati: Nadhani sasa CCM tuanzishe chaneli yetu ya Televisheni kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025

    Salamu Wakuu wa JF SSH 25 30 Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ni wazi kuwa ushindani wa kisiasa unazidi kuwa wa kisasa na unaotegemea zaidi teknolojia na mawasiliano ya umma. Kwa kuzingatia hali hiyo, chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinashauriwa kuangalia uwezekano wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Manyara: Wananchi wandamana kumkataa Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za Wajumbe

    Wakuu! Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia tunateseka...Kura zote.. Tumeibiwa Kura...Tunamhitaji"
Back
Top Bottom