Wanajamvi
Huku kwetu Mtaa wa Kigezi Kata ya Buyuni Maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam kuna fomu za kuanzisha vikundi vya Kijamii vinavyoratibiwa na baadhi ya Wana-CCM . Kwa aliyetoa maelezo anasema kuanzishwe vikundi vya kijamii ambapo kila mkaazi wa eneo hili anatakiwa kujiunga kwa kujaza...
Akizungumza katika maonesho ya Siku ya Wakulima (Nanenane) Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma katika viwanja vya John Malecela leo, Agosti 8, 2025, Rais Samia amesema kuwa katika kipindi hiki kuanzia mwezi huu, vyama vyote vya siasa vimeanza michakato ya kupengua na kuteua wale wote...
Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA,
"Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewataka wadau wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa dini na vyama vya siasa kujiepusha na lugha za matusi, kejeli, ubaguzi na uchochezi, hasa wakati wa kampeni huku akiwasisitiza kutanguliza mbele masilahi ya taifa.
Wito huo umetolewa na Makamu...
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na jaribio la kufanya uhalifu wakati wa zoezi la uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) jimbo la Vunjo.
Watu hao wanadaiwa usiku wa kuamkia siku ya upigaji kura za maoni, yaani Agosti...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila amesema;
"CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari...
Mkuu wa wilaya Lindi, Victoria Mwanziva ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (LUWASA) kuchunguza uharibifu wa miundombinu ya mradi wa Ng’apa.
Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wananchi wa mtaa wa Mtange kukosa maji kwa zaidi ya wiki moja.
Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikilizwa kwa uamuzi wa maombi ya kutengua zuio hilo.
Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na...
Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
Soma pia: Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha...
Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki
Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.
Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu...
James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Wakuu,
Mgombea wa nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Aaron Kalikawe ameahidi kuifanya Tanzania kuendeshwa katika mifumo ya teknolojia itakayochochea uzalishaji wa ajira kwa vijana.
Kalikawe anachuana na Luhaga Mpina katika...
Twalibu Kadege - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha UPDP , Anasema kwa uwazi kuwa: Tume huru ya taifa ya uchaguzi iko vizuri sana na atakayeshinda atatangazwa.
Mshindi wa kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Mjini, Shabani Kirumbe Ng’enda, ambaye anasubiri kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM, ili kugombea ubunge katika jimbo hilo baada ya kuwashinda wenzake sita akiwemo Baba Levo, amezikataa kura feki zilizokamatwa wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani...
James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya.
"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama...
Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;
"Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au Madiwani. Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona...
Kumbe kwenye nchi kuna wananchi na wenye nchi!, halafu kuna hadaa na kuhadaiwa!.
Hadaa ni pale wewe mwenyewe unakuwa mchovu wakufatilia mambo kiundani ili ujue ukweli halafu ndo uchague upande!, na kuhadaiwa ni kutokana na huo uzwazwa wako wenye akili wanakuhadaa ili waendelee kula na kunywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.