Huu uchaguzi wa mwaka huu unaendelea kutuonesha jambo la msingi sana la kuwa mamlaka yote hutanguliwa na watu.
Mwaka huu tumetangaziwa kutakuwa na zoezi la uchaguzi mkuu lakini cha kushangaza kila mgombea ameanza kampeni kabla ya tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa kampeni. Kuanzia chama tawala...
VIONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka mmiliki wa makampuni ya GSM, Ghalib Said kutoa msaada pia kwa vyama vingine vya siasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Wakizungumza jijini Dar-es-salaam , baadhi ya viongozi wa CUF wamesema kitendo cha kampuni hiyo kuchangia...
Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
Askofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini"
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Ni sawa na kusema Wagombea sasa washindwe wenyewe! hi ni baada ya wananchi kutoa ushauri kwao kuelekea kipindi cha kampeni.
Wakizungumza ndani ya kipindi cha Kijiweni cha Daily News Digital wananchi hao wamewataka wagombea wanaoomba nafasi kwa miaka mitano ijayo kutoa ahadi wanazoweza kutimiza...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimeingia katika hatua mpya ya mchakato wa uchaguzi, huku hali ya kisiasa ikichukua sura mpya baada ya kutangazwa kwa majina ya wagombea 160 kutoka Kata mbalimbali watakaowania nafasi kwa tiketi ya chama hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tofauti na wagombea wengine wa vyama vingine, wengi wao wakifika na...
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Mussa Mwakitinya (MNEC) amewasihi viongozi wana CCM mkoa wa Tabora, kuendelea kuwa wamoja na kuzuia mipasuko inayoweza kukipata Chama wakati mgumu wa kuitafuta Dola
Mwakitinya ameyasema hayo mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM cha Mkoa wa...
"Injinia Hersi Said ametuthibitishia kwamba ni mfanyakazi wa GSM na wakati huohuo ni Rais wa klabu ya Yanga... a conflict of interest (Mgongano wa kimaslahi). Inapotokea kwamba wewe ni kiongozi wa klabu, halafu wewe pia ni sehemu ya watumishi wa kampuni inayodhamini hiyo klabu. Inapotokea...
"Klabu ya Yanga imesafiri na Rais wetu Hersi Kuja huku Rwanda na sijui hizi taarifa zimetoka wapi kwasababu kila kitu kilihishia alipotaka kuwa Mbunge wa Kigamboni."
"Kuna vitu vinaendelea kwasababu kuna watu wametumwa kuja kuharibu mipango yetu na wanataka tufanye vibaya kwenye ligi na klabu...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, leo tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhi fomu za uteuzi kwa mgombea wa kiti cha Rais, Luhaga Mpina, na mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais, Ferej Jumanne, kupitia Chama cha ACT Wazalendo.
Hafla hiyo...
Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa.
Hersi ameungana na wagombea wengine 11 ambao majina yao yameshindwa kupenya katika mchakato huo, huku aliyeshika nafasi ya pili kwenye kura za maoni Agosti 4, 2025, Isaya...
Zoezi la uchukuaji wa fomu nafasi za Ubunge na Udiwani, limeanza leo rasmi kwa baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya, huku uteuzi wa wagombea Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chaumma ukisubiriwa kwa hamu kujua watakaoteuliwa rasmi kugombea nafasi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation.
Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
Mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhiwa fomu za uteuzi na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele.
Hafla...
Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa nafasi ya udiwani katika Kata hiyo Bw. Emmanuel Musuya, aliyeongoza katika kura za maoni na...
Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Jimbo la Kawe, Dorcas Francis amehama rasmi leo Agosti 15, 2025 na kutangaza kuhamia chama cha CHAUMMA na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu w chama hicho, Benson Kigaila
Chanzo: Mwanzo TV Plus
Sala na Kazi
Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji.
Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama kondoo kati ya mbwa mwitu.
Nani panya atamfunga paka kengele?
Tumrudie Mungu Mwenyezi, Mungu wa Paulo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.