uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hatima ya wabunge CCM kubainika agosti 21 & 23

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vyake vya kitaifa vitakavyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi...
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Tundu Lissu ametinga mahakamani akiwa amevaa T-shirt ya 'Oktoba tunatiki'

  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

    Hivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania? Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri? Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu? Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma. Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatma ya zuio la shughuli Kisiasa kwa CHADEMA kujulikana leo Agost 18, 2025

    Kesi ya madai dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho inatajwa leo, Agosti 18, 2025, katika Mahakama Kuu. Shauri hilo Na. 8323/2025) linahusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa lililotolewa na Mahakama tarehe 10 Juni 2025, ambapo baadhi viongozi wa CHADEMA walizuiwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatma maelezo ya mashahidi wa siri Kesi ya Lissu kusomwa 'live' kujulikana leo Agost 18, 2025

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2025 imepanga kutoa amri kuhusu kurushwa mubashara kwa maelezo ya mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. Pamoja na hilo, pia mahakama hiyo inatarajiwa kusikiliza maelezo...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya magari 150 Msafara wa Rais Samia

    Wakuu hii tuseme ni ushamba au ndio ulinzi unaimarishwa? Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma, zaidi ya magari 150 msafara wa Rais
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakili dhidi ya Lissu

    Mtume (S.A.W) alisema: (Hadithi sahihi - Bukhari na Muslim) 🔑 Maana yake: Si sahihi kutumia hoja za ujanja, udanganyifu, au ufasaha wa maneno kumkandamiza au kumnyang’anya haki mtu mwingine. Mwanasheria au mtetezi wa kesi anapaswa aseme ukweli na kusimama kwa haki, si kutumia uhodari wake...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi wamevamia Kikao chetu cha ndani Kibaha, wanachama Sita wakamatwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani. Katika...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CCM Minera, Ulanga watishia kurudisha kadi za Chama

    Wachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)zaidi ya 50 Kutokana Kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, wametishia kurudisha kadi endapo jina la Mtia nia Udiwani aliyeingoza kwenye kura za maoni alitorudishwa. Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya CCM Mkoa Morogoro, Wanachama hao wamesema...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Washauri anaoendelea kuwashikiria rais Samia siku si nyingi watampeleka shimoni

    Wakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo. Tumpe kwanza heshima yake Masoud Kipanya!
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais CHAUMMA aanza ziara ya kusaka wadhamini

    Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na mgombea mwenza wake, Devotha Minja, wakiongoza kazi ya kuandikisha wadhamini wao leo mkoani Lindi. Mgombea huyo wa CHAUMMA ameanza leo ziara katika mikoa mbalimbali ya kuomba udhamini wa kupeperusha bendera katika nafasi...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazee wa unywaji naomba neno moja juu ya mgombea wetu kutoka NCCR Mageuzi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anakomesha uvunjifu wa maadili uliokithiri nchini ikiwemo ujenzi holela wa bar kila Mtaa, nyimbo zinazosifu pombe na ulevi na filamu za Bongo Movies...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakuu mumemskia Mwakinyo kuhusu Lissu?

    Champezi Hassan Mwakinyo Umegusia jambo muhimu sana katika harakati; Tundu A.M Lissu kujitetea Mahakamani katika mashtaka ya uhaini, wakati huo; Tundu Lissu anafundisha jumuiya yote kuanzia Mahakama, Wanasheria, watazamaji jinsi ambavyo sheria inaelekeza. Nelson Mandela alitumia dakika 180...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Unaingia kwenye kampeni za uchaguzi wakati kiongozi wa kisiasa mwenye wafuasi wengi yuko ndani. Sasa huko kwenye kampeni utawambia nini wafuasi wake?

    Hili ndio swali ninalojiuliza. Labda niulize: Hili nalo linahitaji ushauri au kutumia commonsense tu? Kuna tofauti gani na mtu mwenye njaa anaenda kuomba unga kwa jirani wakati huo huo amemdhulumu jirani yake huyo shamba? Hawa watu kweli wamekoma kisiasa au bado sana? Mwenye majibu kama yupo.
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Mbeya wapinga matokeo Kura za Maoni CCM, waahidi kususia uchaguzi mkuu 2025

    Hali ya sintofahamu imeibuka katika Jimbo la Mbarali, Mkoani Mbeya baada ya baadhi ya wananchi kutishia kususia Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, wakipinga matokeo ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwa mgombea aliyeibuka mshindi si chaguo lao, bali...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mrisho Gambo anaungana na Luhaga Mpina 'Arusha Oktoba tutalinda kura'

  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA:Wanahabari msibebe umbea, hojini sera za vyama

    Meneja wa Huduma za Utangazaji katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari na watangazaji nchini kuzingatia sera za vyama vya siasa katika uripoti na mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, badala ya kuendesha mahojiano kwa misingi ya mambo...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Brenda Rupia amejiuzulu nafasi yake ya uongozi CHADEMA

  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kwenye hotuba ya Agosti 15, 2025 Askofu Gwajima amewataka watanzania kudumisha amani na umoja kipindi cha uchaguzi

    Wakuu nimekutana na hii Grafiki lakini kwa trending ya huyu bwana sina hakika kama alitamka haya maneno.
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa inayosema 'Lema atumia jina la Lissu na CHADEMA kutafuta misaada Canada

Back
Top Bottom