Kwakuwa Kwa sasa Chadema inafanyiwa hujuma mbalimbali.
Naomba wawekeze Katika majukwaa ya mitandaoni ,
Hizi Hujuma wanazofanyiwa Chadema zisiwe sababu za wao kurudi Nyuma.
Tone Tone iendelee kama kawaida iwe online na hela inayokusanywa iwe inatolewa taarifa ili kuanagalia Speed na kuboresha...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata, leo amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kushinda na kupitishwa na chama hicho katika mchakato wa kura za maoni uliohitimishwa hivi karibuni.
Akizungumza mara baada ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano unaoweza kuathiri haki na uwazi wa uchaguzi.
Akizungumza Jumatatu, Agosti 18, 2025, katika Mafunzo...
Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa.
Kwa mujibu wa maelezo yake...
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano unaoweza kuathiri haki na uwazi wa uchaguzi.
Akizungumza Agosti 18, 2025, katika Mafunzo kuhusu...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani.
Akizungumza leo Agosti 18, Mwenyekiti wa ZEC Jaji George
J. Kazi amesema kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 34(3) na (4)...
Akizungumza katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa leo Agosti 18, 2025 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu amelalamikia...
Wakuu
===
Kwa siku za hivi karibuni, baadhi ya taasisi zisizo za kisiasa zimeonekana viongozi wake kuonyesha mapenzi yao kwa vyama vya siasa kwa kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kisiasa; baadhi yao wanachangia kifedha, wengine wanagombea, na wengine kushiriki kwa namna nyingine...
Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa.
Akizungumza...
Fikiria kama huyo Luhaga Mpina akiondolewa kugombea Urais Uchaguzi huu, katika kubalance mambo mbalimbali na utamaduni wetu vitaonekanaje?
Nahisi hawa hawa ACT wazalendo kuna kamchezo wanafanya kuiumiza CCM
Haiwezekani wao kama chama walikubaliana na kumpokea Mpina na kumpa uanachama na...
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa.
Kwa hali ya...
"Wakati tu mchakato umetangazwa, Kiongozi wetu wa Chama, ndugu Dorothy Semu alitangaza hadharani nia yake ya kugombea Urais na alifanya mahojiano na vyombo vya habari na aliendelea kufanya harakati zake za kuwatangazia umma kwamba wakati ukifika atagombea Urais.
"Hadi juzi tumemaliza tulikuwa...
"Kilichonisukuma kupinga uhalali wa Luhaga Mpina kugombea Urais katika Chama cha ACT WAZALENDO ni kanuni. Kwenye ukurasa wa 23/ 16, inaonyesha sifa za wagombea ndani ya Chama. Wagombea Urais. Awe mwanachama wa ACT WAZALENDO kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya Tarehe ya mwisho wa wagombea wa...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo Agosti 18, 2025 ambapo Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga anatarajia kutoa amri kuhusu ombi na pingamizi la urushaji wa moja kwa moja wa mwenendo wa...
Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa.
Chanzo...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa JNICC ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, inatoa mafunzo ya Sheria mpya ya Gharama za Uchaguzi, kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vyote vya siasa nchini.
https://www.youtube.com/live/joRKIIYROnk?si=1cVSWVZva0AACKkm
Karibuni
Paskali
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo, Mhe. Tundu Lissu, jijini Brussels, Ubelgiji, tarehe 16 Februari 2022.
Tukio hili lilikuwa sehemu ya ziara ya Rais Samia barani Ulaya, na lilichukuliwa na wengi kama hatua muhimu katika...
Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.
Pia Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.