"Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda...
Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.
Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki...
Wakuu,
Leo John Heche kaamua kutoboa siri. Anasema kuna vyama vimeingia kwenye Uchaguzi lakini kumbe havina wagombea.
Wanachofanya wanapiga simu kwa baadhi ya wanaCHADEMA wanaahidi mahela ili waondoke CHADEMA wajiunge na vyama vyao ili wakagombee.
Hayo ameyasema akiwa kwenye kipindi...
Katibu mwenezi ACT Wazalendo mkoa wa Dar es salaam Monalisa Ndala leo Agosti 19, 2025 ameandika Barua kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini kama mlezi wa vyama vya siasa.
Hiyo ni hatua ya pili mara baada ya mara ya kwanza kuandika Barua kwa Katibu wa Chama Cha ACT wazelendo, Kupinga Mhe. Luhaga...
Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa ajili ya uchaguzi na ujenzi wa Makao makuu ya CCM - Dodoma.
Ni mikoa inayotoa madini mengi Tanzania, Ni mikoa jirani iliyojaa watu wengi sana
Lakini maendeleo ni duni sana, wanachotoa na wanachorudishiwa ni vitu viwili tofauti, wnachotoa kinaenda kuendeleza kwengine wakari kwao hali ni mbaya sana
Uchaguzi unakaribia, Ccm wanaona watu wa huko wapozwe...
Mchungaji wangu ameamua kuliweka wazi hili jambo, wewe huko mchungaji wako anasema nini kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025?
Mwanasiasa yeyote atakaeichezea nchi acha bendera ipeperushwe nusu mlingoti
Soma pia: Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi...
Mtiania urais wa Tanzania wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameendelea kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili kumwezesha kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Mwalimu ambaye pia ni...
Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi.
"Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha...
Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki
Kabudi anasema kwamba...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud Said amesema hawawezi kuungana kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani kwa sababu maendeleo yaliyofanya na CCM ni makubwa.
🗣"ni kwamba niliandaa mimi mwenye binafsi utaratibu wa kuhakikisha...
Wakuu,
Wale wanetu wa No Reforms No Election, Kabudi ana ujumbe wenu hapa.
Kabudi amesema kwamba wote ambao mnataka Uchaguzi uhairishwe hamjui historia ya nchi hii
Anasema kuwa mwaka 1980 kulikuwa na shinikizo kubwa kwa serikali kuahirisha Uchaguzi kutokana na taifa kutoka kwenye vita ya...
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, ametangaza majina ya madiwani walioteuliwa kuwania nafasi hiyo katika wilaya ya Sengerema.
Aidha, amewakabidhi barua zao za uteuzi na kuwataka waendelee kushikamana ili chama kipate kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani
1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni
Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4):
"Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa wakati wa kampeni za ndani ya CHADEMA za kumtafuta Mwenyekiti, taswira ya chama iliharibika sana kutokana na makundi ya ndani kushambuliana vikali.
Ameeleza kuwa moja ya mambo yaliyoumiza zaidi ni namna kundi la Mbowe...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanikiwa kupata wanachama wapya katika ziara ya kisiasa ya mtiania wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, Salum Mwalimu, iliyofanyika leo Jumatatu, Agosti 18, 2025 mjini Makambako.
Miongoni mwa waliojiunga na chama hicho ni wanachama kutoka vyama...
Mfumo wa vyama vingi tunaoutumikia sasa haukuwa takwa la Wananchi walio wengi bali Dola iliulazimisha ili kuwafurahisha Wafadhili wa ubeberuni
Vijana ambao ndio wengi ili Wajue ni mfumo gani utawafaa kwenye Tanzania yao ni lazima kwanza warudishwe kwenye mfumo wa Chama kimoja wapractice Siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.