uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 M/Mwenyekiti ACT Ismail Jussa: Siku ya kwanza ya Uchaguzi Zanzibar kumefanyika uhuni mkubwa. Watoto wadogo walipelekewa kupiga kura

    Wakuu, Hawa ACT walionywa sana na CHADEMA kwamba wasishiriki Uchaguzi huu maana wataenda kuibiwa kura lakini hawakusikia sasa hivi wanatoa milio tu. Haya sasa kiko wapi? --------------------------- Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Ismail Jussa amekosoa kile alichokiita uchakachuaji uliofanywa...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Magari ya Polisi yafanya doria usiku huu wakati Taifa likisubiri maandamano

    Wakuu Nasikia huko Mwanza walianza doria usiku wa kuamkia leo. Yani magari tu na ving'ora vilikuwa vikisikika usiku kama video inavyoonesha Kiukweli kabisa yani organizers wa haya maandamano wameweza kuwasumbua hawa watu
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa tulioshuhudia chaguzi za vyama vingi toka 1995 hadi sasa Hali ya uchaguzi 2025 ni tulivu sana

    So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025. Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu. Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Safari hii hata hawajajisumbua kupitisha greda watudanganye, wanajua NIDA zitafanya kazi anyways!

    Wakuu, Safari hii kwenye kampeni hata hawajarwmba na danganya toto za kupitisha greda kurekebisha barabara kwa muda mfupi ili watakaoenda kuwapigia kura wapite kwenye njia nzuri😂😂 Safari hii ni unyama, kiburi kiburi tu, mwingine hadi katuita mbwa huko😂😂 NIDA zinawapa kiburi kwelikweli. Utoke...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukivaa nguo za CHADEMA, au kuongelea maandamano unawekwa gerezani hadi uchaguzi upite, jishikilie huo mdomo mpaka MO29!

    Wakuu, Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
  8. Consigliere

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuisikiliza hii audio ya Mafwele, ni dhahiri Maandamano hayakuanzishwa mitaani, bali yameanzishwa na waliomo ndani ya Mfumo

    Ndani ya hii audio clip kuna mambo kadhaa yanayotoa picha kubwa ya kile kinachoendelea na kukemewa nchini Tanzania. Kwanza, na kwa umuhimu mkubwa zaidi, Mafwele amekiri wazi kwamba yeye ndiye anayeongoza operesheni zinazolalamikiwa nchi nzima, ikiwemo ukamataji, mauaji, na watu kutoweshwa...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

    Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu. Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity. Kuna...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

    Wakuu, Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025. Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi: Atakayethubutu kuvunja sheria Oktoba 29 asitulaumu kwa hatua itakayochukuliwa dhidi yake

    Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na Madiwani. Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mhariri Jackton Manyerere: Tumeaminishwa jukumu la kulinda amani ni la wanaotawaliwa tu. Watawala watende haki, wasiishie kuhubiri amani

    Wakuu, Mwenye CV ya huyu baba naomba anipe. Ujumbe unahitajika sana kipindi hiki ====================================== Mhariri mwandamizi wa habari nchini Tanzania, Jackton Manyerere, ameibua maoni yenye changamoto kuhusu Azimio la Wakuu wa Vyombo vya Habari na Wahariri Waandamizi Tanzania...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lipumba: Mawakala wengi wa CUF hawajaapishwa. Wakienda kuapishwa wanaambiwa njoo kesho. Kesho wakienda ofisi zimefungwa

    Hawa wasitupigie kelele. Huwezi ukawa unafanya kitu kile kile miaka yote alafu ukategemea matokeo tofauti. Lissu alipowaambia wajiunge nae kwenye NRNE walisema kuwa Uchafuzi, sorry, Uchaguzi upo Kikatiba kwa hiyo wataenda kupambana Sasa hivi wanalia tena? ==================================...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Mfadhili wa maandamano naye ameishiwa fedha

    Wakuu, Propaganda za kishamba sana. Nchi ya Tanzania SIO THREAT kwa nchi nyingine yoyote duniani, so the idea kwamba kuna mtu anafadhili maandamano just for the sake ya amani iharibike its a total fallacy Sisi sio Urusi kwamba kukiwa na machafuko nchini, itamnufaisha Marekani. We are not a...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Kama Taifa tumefikaje sehemu tunawatumia watoto wa chini ya umri wa miaka 5 kama nyenzo ya kufifisha maandamano?

    Hivi si tulikubaliana kwamba watoto hawatakiwi kuhusishwa na siasa? Nani alikuja na script hii ya kufanya hawa watoto tena wa umri wa miaka 5 kusoma barua sijui hotuba kama hii ambayo ni 100% political? Jamani tunajua mmepanic lakini hii sio sawa. ========================== Watoto wenye umri...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC wa Mbarali Maulid Surumbu: Tarehe 29 kutakuwa na maandamano ya kupiga kura na sio maandamano mengine tunayosikia sikia kwenye mitandao

    Mkuu wa wilaya ya Mbarali mkoni Mbeya Brigedia Jenerali Maulid Surumbu amesema serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo wamejipanga kikamilifu kudhibiti viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu Frank Mastara Sichalwe ni Katibu tawala wa...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

    Huu ujinga sana wanaoleta sasa Hawana sare Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu! Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi Nchi imeoza badala wakamate...
  18. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Zamu ya kupeleka maumivu na kilio kwao imetaradadi

    Miye sijui, walahi. Zamu yenu imefika. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Mwafanya wenyewe, mkifanyiwa mnapiga nduru. Siye tulizoe kulia, kila siku kuumizwa na kulalamika. Sasa tunataka zamu yenu ikifika tule kisinia kimoja. Walahi tutaumizana, kwetu haitakuwa mara ya kwanza. Mmetuua...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shirika la TAFEYOKO: 64% ya wanawake na 36% ya wanaume waahidi kupiga kura, kisha kurejea nyumbani siku ya Uchaguzi

    Shirika la Vijana na wanawake Tanzania (TAFEYOKO) limesema limefanya utafiti katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ambao umeonesha asilimia 64 za wanawake na asilimia 36 za wanaume wamesema wakishamaliza kupiga kura watarejea nyumbani.
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Queen Sendiga: Hatutovumilia wala kuwaacha salama wanaopanga kuvuruga Uchaguzi Mkuu

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbeth ametoa onyo kwa wananchi wanaopanga kupanga kufanya maandamano siku ya Oktoba 29 akisema: "Kama serikali tunawajibu wa kukemea mapema, yeyote ama kundi linalopanga kufanya vurugu kwa kujishawishi mwenyewe ama kushawishiwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya...
Back
Top Bottom