uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Mgombea wa Msumbiji alikuja Tanzania kujifunza wizi wa Kura

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema: "Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rose Mayemba ajitosa kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, nitampigia kampeni

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi leo hakuwa Mjumbe wa Kamati Kuu. Namtakia Kila la heri. Labda kwa faida ya WanaJF na wengine kote...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA tumefika hapa tulipo (kwenye mtanziko) kwa sababu ya Wenje

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake. Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika...
  4. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, John Wegesa Heche achukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa'

    == https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani ya Tanzania, Huenda Mhe John Heche akatangaza kumkabili vikali Ezekiel Wenje kwani tayari...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi takriban 78,000 watarajiwa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura Zanzibar, wanawake wahaswa kujiandikisha kwa wingi

    Wanabodi, Wanawake visiwani Zanzibar wenye sifa wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura katika zoezi ambalo linatarajiwa kufanyika Febuari Mosi hadi Machi 17, Mwaka huu Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Idara ya Wanawake na Watoto Sitti Abbas...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika wa Bunge Tulia Ackson na Foundation yake azidi kumwaga misaada kwa wananchi wa Mbeya Mjini

    Wakuu, Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya. Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na kugawiwa nguo pamoja na majengo ambayo foundation yale imejenga. Sugu anaona lakini mambo haya anayofanya...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Bodaboda wamchangia Rais Samia Tsh Milioni 1 kwa ajili ya kuchukua fomu

    Wakuu, Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea ===================== Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga (Uwapibata) wamechanga Sh1 milioni kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Sina tabia ya kumshambulia kiongozi mwenzangu hata napokuwa siridhiki, Katiba kumbana Lissu

    Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje. Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    "Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Wakuu Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa; "Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kaka yake Tundu Lissu: Atakayechaguliwa CHADEMA arekebishe Katiba ya Chama

    Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama. Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Songwe: Tumekaa tumeona tusimame na Tundu Lissu na siyo kama tunampuuza Mbowe

    Wakuu Uchaguzi unapamba moto == Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine Hali imekuwa tofauti kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe baada ya kusema Wamejirisha watu wanachama...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Wapambe wanawagombanisha Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema wapambe ndio wanaosababisha migogoro kati ya Freeman Mbowe na...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza. Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema; "Chama (CHADEMA) ni kikubwa kuliko mtu yeyote, hii dunia wote...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Acha nidhalilike kwa ajili ya ndugu zetu hawa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki na viti mwendo (wheelchairs) 100 kwa watu wenye uhitaji maalum, amesema; "Kuomba ni utumwa na udhalilishaji, lakini kwa ajili ya ndugu zetu hawa acha...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Kikwete na viongozi wakuu wastaafu waongezewe ulinzi kipindi hiki cha uchaguzi

    Natoa pemdekezo viongozi wote wastaafu walio kuwa high level waongezewe ulinzi. 2025 ni mwaka wa uchaguzi hawa wazee wana nafasi kubwa kwenye maamuzi magumu ya uchaguzi hawatopendelea ila watatenda haki na kwa sababu hiyo wanahitaji special ulinzi ukihusisha in and outside security. Huu mwaka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mifumo Dume bado ni changamoto kwa Wanawake katika Vyama vya Siasa Nchini

    “Niliingia katika siasa kwa sababu, niliona masuala mengi ya wanawake hayaingii kwenye sera mipango na bajeti kwa kuwa, nafasi nyingi za maamuzi zimeshikiliwa na wanaume. “Hiyo ni kwasababu ya kushamiri kwa “Mifumo Dume” katika vyama vya Siasa nchini, nilitamani kuingia kwenye uongozi kufanya...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitila Mkumbo: Nimejipanga vilivyo kugombea Ubunge 2025, msije kudharau nyoka mdogo sumu ni ile ile!

    Wakuu, Kash kash zimeanza rasmi sasa! ===== Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, Januari 1, 2025, amewahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Ubungo katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Ubungo Plaza...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Njombe yawaonya watakaotoa zawadi bila vikao halali

    Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama na kwamba hatua Kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa atakayebainika. Kupitia maazimio ya Kikao Cha...
Back
Top Bottom