uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga na Mbunge wa Korogwe Vijijini watoa michango ya Milioni 7 kila mmoja ili kununua madawati 200

    Wakuu, Misaada na michango imeendelea kububujika kutoka kwa viongozi wa CCM Hii michango kwanini hatukuiona miaka mitatu nyuma? ================================= Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa UWT Hawa Ghasia: Wakina mama tunafanya zaidi ya wanaume. Baada ya Samia, aje tena Rais Mwanamke!

    Wakuu, Hawa Ghasia kimemkuta nini? Mbona alikuwa ni mtu safi tu kipindi ni Mbunge wa Mtwara vijijini? CCM angalieni sana watu wa kusemea chama chenu. Nimewaza sana mwanaume angeinuka na kusema kitu kama hiki wafeminia wangehemka kiasi gani ============================================...
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kufanya kura za maoni mtandaoni kwa kulinganisha wanaosemwa kugombea URAIS nchini Tanzania ni makosa?

    Team; Salaam! Sheria ya mitandao ya kijamii na Sheria zingine zinasemaje kuhusu kura za maoni kwa wamaotajwa kugombea URAIS mwaka 2025? Kama itakuwa kitu kinachoruhusiwa kufanyika basi ningeomba Hashim Rungwe Spunda; Zitto Zuberi Kabwe Tundu Antipas Lissu Dkt Samia Suluhu Hassan Ibrahim...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Samia Legal Aid imefika Mpanda mkoani Rukwa

    Timu ya Wataalam ya kampeni ya msaada wa kisheria wa mama Samia Legal Aid (MSLAC) ikiongozwa na Salome Mwakalonge ambaye ni Mratibu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutoa elimu ya kisheria kwa Wananchi wa Manispaa ya Mpanda. Timu hii ya wataalamu imefanikiwa kutatua mgogoro baina ya...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siku ya Wanawake Duniani watumishi wasilazimishwe kununua vitenge vyenye picha ya Rais Samia, itakuwa uonevu

    Wakuu, Jana kulikuwa na uzinduzi wa vitenge maalum kwa ajili ya siku ya wanawake. Malalamiko yalijitokeza kuhusu vitenge hivyo kuwa na picha ya Rais ilhali tukio lilikuwa ni la kitaifa na sio la kisiasa. Tunaomba kama vitenge vina picha ya Mwenyekiti wa CCM, watumishi wa umma wasilazimishwe...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award

    https://www.youtube.com/live/gwDU3yG1pk4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amepokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel Dar es salaam, leo tarehe 04 Februari, 2025. Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo ametoa hutoba ambapo Rais Samia ameeleza...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CCM Mtwara Mjini: Vijana tumieni mitandao vizuri kwa manufaa ya CCM

    Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama. Akizungumza kwenye hafla fupi ya kusherehekea miaka 48 ya chama hicho iliyoambatana na kufanya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama CHADEMA imepoa baada ya uchaguzi wao wa ndani

    Mbona imechokwa mapema, naona tangu uchaguzi umalizike hivi sasa zii. Au ulikuwa moto wa vifuu? Lema kaenda likizo?
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Lupembe: Ubunge sio kujua kusoma na kuandika pekee. Ni lazima ujue Kiingereza na sheria. Kutunga sheria ni kazi ngumu

    Wakuu, Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha kufikiria kuwa ili uweze kuwa Mbunge unapaswa kujua kusoma na kuandika tu kwa kuwa kazi hiyo ya uwakilishi...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani wa kata ya Zingiziwa: Nipo tayari kukosa udiwani kuliko kushuhudia Jerry Slaa anakosa Ubunge katika uchaguzi ujao

    Huko CCM nikadhani uchawa ni kwa mwenyekiti wao tu kumbe hadi wabunge sasa hivi wanafanyiwa uchawa? Madiwani mmekuwaje lakini? ======================================== Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Hakutakuwa na ugumu wowote kwenye kampeni za mwaka huu. Mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa, sheria zimebadilishwa

    Wakuu, Tulia anasema hana presha yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Katika Mahojiano Maalum aliyofanya na ManaraTv Dkt.Tulia ameeleza kuwa hakutakuwa na ugumu wowote kutokana na mambo yaliyokuwa yakilalamikiwa yamefanyiwa maboresho ikiwemo ubadilishaji wa baadhi ya sheria.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia awataka Majaji na Mahakimu kutokuwa miungu watu, watende haki kwa kufuata sheria

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Chinangali-Park Dodoma Februari 3, 2025. https://www.youtube.com/live/fqCi2-5SDmA?si=jG8QMcgHcUv5YYNN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan "Kwa mwaka 2024 Jumla ya mashauri 172, 301...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa zamani wa Sumbawanga: Viongozi msing'ang'anie kukaa bungeni muda mrefu

    Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa M bunge wa Sumbawanga, Paul Kimiti, amesema wanasiasa wanatakiwa kukaa bungeni kwa muda maalum na kuondoka wakiwa bado wanahitajika na wananchi, badala ya kusubiri hadi wachokwe. Kimiti amesema si vizuri kukaa muda mrefu bungeni, na kwamba hata yeye aliamua...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Njombe: Kuna wanasiasa wameifanya Tanzania kama Gheto. Wanavuruga amani alafu kesho anakata tiketi anaondoka!

    Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama 'gheto' na siyo makazi rasmi...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichokisema Rais Samia kuhusu maslahi ya waalimu ni anamaanisha au ndio sarakasi za kampeni?

    Wakuu, Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana ============================================== Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni mgombea urais sahihi kwa tiketi ya CHADEMA 2025. Watanzania tumuunge mkono

    Watanzania wote tunaamimi wewe ni mtu sahihi kupeperusha bendera ya Chadema kama mgombea urais 2025. Wakati ni sasa tangaza nia mapema na sisi tunaotakia mema taifa hili tutakuunga mkono. Umeonesha ukomavu mkubwa wa kiuongozi na namna unavyoiishi demokrasia kwa vitendo. Chadema inaenda na...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu. Rushwa Ufisadi Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana Kutowajibika kwa viongozi...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia Ackson: Natamani kumuona Manara bungeni. Naibu Spika akistaafu siasa nitamshauri Manara akagombee

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Unajua kule bungeni...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe wa CHAUMMA: Sifanyi mkutano wa hadhara chama changu hakina fedha

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo. Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanza: Katibu wa UVCCM Sengerema aonya makada wa CCM ambao wameanza kuhujumu mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM

    Katibu wa UVCCM Wilaya ya Sengerema amewaonya baadhi ya viongozi wa jumuiya wanaotumika kupanga safu za wapiga kura wa maoni ndani ya CCM, akisema wanakiuka taratibu za chama hicho. Ametoa wito kwa viongozi hao kuheshimu misingi ya chama iliyowekwa na waasisi wake na kuacha tabia zinazoweza...
Back
Top Bottom