uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: ACT Wazalendo walalamikia mchakato wa uandikishaji daftari la mpiga kura. Wasema hawajashirikishwa

    Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Meya wa Arusha azindua mitambo yenye thamani ya Tsh 1.7 Bilioni ili kujenga barabara. Hizi ni sarakasi za Uchaguzi?

    Wakuu, Hivi karibuni nimeona miradi mingi ya barabara inazinduliwa kwenye sehemu mbalimbali za Tanzania. Kila kitu cha habari ni wabunge na Mameya wa CCM wakizindua miradi mbalimbali ya barabara. Walikuwa wapi miaka 4 iliyopita au ndo fedha zimepatikana sasa hivi...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nina shida kubwa sana na CCM, ila kwenye haya Salute Rais Samia🚶‍♀️

    Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule. Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au umeme. Haya ni majukumu ya msingi ambayo Serikali yeyote inapaswa kuyafanya na Wananchi hawapaswi...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dark days are coming before the election of 2025

    Dark days are coming before the general election 2025. Wanaocheka watalia 2025 Wanaolia watacheka 2025 Mwaka mbaya Sana kwa mafisadi Mwaka mgumu Sana kwa machawa. Mungu ibariki Tanzania !!
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ya Lissu ijikite kwenye kuangazia kero za wananchi ipate uungwaji mkono dhidi ya CCM

    Katika vitu ambavyo vimeifanya CCM isurvive, au kupata ahueni ya kisiasa ni kwa sababu CHADEMA ya uongozi uliopita haikuchagua kuisagia kunguni CCM kisawasawa kwa wananchi juu ya kero zinazowasumbua wananchi. Wao walibaki kuongelea vitu secondary kama vile demokrasia na kuacha mambo ya maana...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Programu ya Mama Samia Legal Aid yatua kwenye makanisa ya Mtwara

    Ikiwa ni Jumapili, Januari 26, 2025 ni siku ya nne pekee tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mnamo tarehe 24 Januari, 2025 mkoani Mtwara, kampeni hiyo imeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya wananchi ili kutoa huduma na elimu ya masuala mbalimbali yanayohitaji...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dorothy Semu: Nikiteuliwa serikalini sitakubali uteuzi. Sitamani kufanya kazi nyingine zaidi ya ACT

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo Na kwamba hata akipewa kazi serikalini hawezi kukubali. Ikumbukwe kuwa mwaka 2017 aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuleta changamoto mpya chadema, Tundu lisu asigombee urais amuombe mwabukusi agombee

    Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema. Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu lisu. Lakini pia hii inaweza kuiongezea chadema kura za nyanda za juu kusini.
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mjumbe aliyetaka Samia na Hussein Mwinyi watoke kwenye kikao ili wawajadili aitwa kujieleza

    Mdomo uliponza kichwa. Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo. Kikao kilikuwa kimepangwa vizuri, kila jambo likiwa limeandaliwa kwa mpangilio maalum, lakini mtoa hoja aliamua...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

    Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano" Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushindi wa kishindo kwa Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utachochewa na mgombea mwenza kuwa Dr. Nchimbi

    My friends ladies, and gentlemen.. Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan kutamfanya achaguliwe tena kwa kishindo, kumalizia ngwe yake ya pili muhimu sana ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Godbless Lema afichua mbinu alizotumia kumuombea Lissu Kura za Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga Tanzania: Wafanyabiashara wadogo tuko pamoja na Samia 2025. Tuko tayari kwa lolote

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za walipa kodi Makamu Mwenyekiti wa Wamaching Tanzania amedokeza kuwa kwa niaba ya wafanyabiashara wadogo wanamuunga mkono Rais Samia kwenye Uchaguzi wa 2025.
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

    Asalaam aleykum, Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM. In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...
  15. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua yangu kwa Rais, wagombea ubunge 2025 na Mawaziri

    Habari wanajamii napenda kumshukuru MWENYEZI MUNGU mwingi wa rehema kwa kutupa neema hii ya pumzi mpaka muda huu Barua yangu hii fupi naomba niweke mahususi kwa viongozi wa nchi wakiongozwa na Mheshmiwa Raisi na wasaidizi wake wote katika kila taasisi naimani ni wenye afya na mko salama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA piteni humu kurudisha imani kwa wananchi

    .
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Lissu ameshinda kwa asilimia 2 dhidi ya Mbowe. Ni kashfa ya Abdul imehusika au ilikuwa ni muda wa Mbowe kuondoka?

    2% ni ndogo sana, lakini ndio hio ilioamua ushindi. Je hizi tuhuma alizotoa lissu dhidi ya wenje ndio zimecheza part kubwa ya "narrow win" yake au ni basi watu angepata support ya kushinda pasipokuwa na scandal ile.
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kashinda tu tunaona intaneti imeanza kusumbua! Yale ya 2020 yanaenda kujirudia tena 2025? Hakikisha una VPN ya maana

    Wakuu, Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana. Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa CHADEMA ulikuwa unaendelea ilikuwa ni shida sana kuweza ku-stream tukio hilo. Nakumbuka the same...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu wizi wa kura, Godbless Lema aipa onyo hili CCM kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu 2025

    Wakuu, Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM. Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura. Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sio dhambi! Tume ya Uchaguzi wakajifunze kwa CHADEMA namna ya kuendesha chaguzi

    Hawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania. Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura. Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao...
Back
Top Bottom