Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,096
- 5,592
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Unajua kule bungeni, lengo la ubunge ni uwakilishi na yeye (Manara) ama mtu anayeweza kuzungumza na kuweka hoja vizuri. Kwa kweli atakuwa mwakilishi mzuri kwa wananchi watakaomchagua"
Pia soma > Pre GE2025 - Jimbo la Ilala mnamtaka Haji Manara awe mbunge wenu? Kuna ujumbe wenu hapa