uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu D Voice alianza vizuri tu ila Wasafi washampeleka kwenye uchawa. Yaani Rais kuwa photogenic kidogo tu watu washaingia studio!

    Wakuu, Yaani Rais kupiga picha tu, chawa washaingia studio kutengeneza nyimbo out of that picture. Huyu D Voice ndio alikuwa the last standing artist hapo Wasafi bila viashiria vya chawa ila naona nae kashakuwa chawa wa mama. Yaani Rais kuwa photogenic kidogo tu watu mshaingia studio kutunga...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Tume Huru ya Uchaguzi: Hudumieni vizuri wateja wenu, kwa upole na waelekezeni kwe unyenyekevu

    Wakuu, Akiwa anaongea kabla ya mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki huko Tanga, Mwenyekiti wa Tume Huru ya UchaguziJaji Rufaa Jacobs Mwambegele amewahasa waendesha vifaa hivyo kuwahudumia ka upole na umyemyekevu wakati zoezi hilo likiendelea
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki Tanga wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo

    Wakuu, Ukishaanza kuona picha kama hizi ujue kabisa Uchaguzi umekaribia. Hawa ni moja watu watakaoenda kuamua nani ataenda kuwa diwani, Mbunge au Rais wako. Wasiende tu kurudia yale mambo tuliyoayaona kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa =============================================...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Christian Bwaya kuhusu mipango ya muda mrefu na muda mfupi ya wabunge

    Akijibu hoja ya ukomo bungeni, Christian Bwaya ameandika: "Wabunge wengi wana mipango ya muda mrefu kaka. Tuwaelewe.Miaka mitano ya mwanzo —kulipa madeni makubwa ya uchaguzi. Miaka mitano ya pili —kufanya uwekezaji mkubwa ili kuwa na nguvu ya kichumi. Kuingia rasmi kwenye tabaka tukufu.Miaka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mjumbe wa kamati kuu UWT-Taifa achangia bati 40 kwa familia ya watoto yatima

    Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza kufanya uboreshaji wa daftari mkoani Tanga kuanzia Februari 13, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo Februari 07, 2025, amekagua mafunzo ya maafisa waandikishaji wasaidizi kutoka Jiji la Tanga na Wilaya ya Muheza, akibaini maandalizi yao kwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mafunzo hayo ni...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM: CHADEMA waendelee na "No Reform No Election", sisi tunaendelea kujenga nchi

    Wakuu, Mjumbe wa Kamati kuu ya Taifa CCM, Charles Mwakipesile amesema kauli ya Chadema ya "No reform no Election" ni kauli ya kisiasa na kauli hiyo hawawezi kuipa nguvu kwani wao ni Chama kinachofata Katiba.
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwanaisha Mndeme atangaza kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo. Ataweza kumrithi Ndugulile?

    Wakili Mwanaisha Mndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo, na Waziri Kivuli Viwanda na Biashara wa chama hicho, leo tarehe 6 Februari 2025 ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Wakili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pwani: Maafisa waandikishaji wasaidizi wa daftari la kudumu la wapiga kura ngazi ya kata waapishwa kiapo cha kutunza siri

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa katika mafunzo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyofanyika katika Halmashauri...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Lindi: Vijana acheni kuwa madalali wa wagombea, wanaofanya kampeni kampeni kabla ya muda kukiona

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani. Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Stability ya Serikali inategemea mgombea urais achelewe kuteuliwa

    Rais Samia angechaguliwa May kuwa mgombea urais ingeleta maana zaidi. Sasa hivi serikali inakosa legitimacy. Serikali inakosa uhalali. Hakuna ushindani,hakuna struggle,njia za mkayo zinatumika kuingia Ikulu au kukaa Ikulu. Rais anaingia uwanjani na mtu anatembea MBELE ya gari. Whatever does...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nadhani tupate 'Kanuni ya kudhibiti Uchawa' kabla ya Uchaguzi wa Oktoba!

    Wakuu Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi, wamebaki kujipendekeza kusiko na faida kwa maisha yetu. Mastaa Wengi wamegeuka kuwa mashine za kuwapamba...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Ulanga: Hata nisiposhinda Uchaguzi mwaka huu, Rais Samia lazima ashinde

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Hasham amesema kuwa kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita, hata kama hatapata tiketi ya ubunge, atahakikisha Rais Samia Suluhu Hassan anapata kura za kutosha katika jimbo hilo. Salim ameyasema hayo wakati akieleza mafanikio...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awaambia CCM: Tusiingiwe na pepo la kuwaogopa Wapinzani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu 2025 kwa sababu ya migogoro

    JamiiCheck tafadhali mtusaidie kupata uhalisia wa hii ===== 𝐌𝐀𝐑𝐈𝐀 𝐒𝐀𝐑𝐔𝐍𝐆𝐈 : 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐖𝐀 𝐕𝐈𝐁𝐀𝐘𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐖𝐀 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi ametoa maoni makali kuhusu mustakabali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kupitia mtandao wa X...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga na Mbunge wa Korogwe Vijijini watoa michango ya Milioni 7 kila mmoja ili kununua madawati 200

    Wakuu, Misaada na michango imeendelea kububujika kutoka kwa viongozi wa CCM Hii michango kwanini hatukuiona miaka mitatu nyuma? ================================= Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa UWT Hawa Ghasia: Wakina mama tunafanya zaidi ya wanaume. Baada ya Samia, aje tena Rais Mwanamke!

    Wakuu, Hawa Ghasia kimemkuta nini? Mbona alikuwa ni mtu safi tu kipindi ni Mbunge wa Mtwara vijijini? CCM angalieni sana watu wa kusemea chama chenu. Nimewaza sana mwanaume angeinuka na kusema kitu kama hiki wafeminia wangehemka kiasi gani ============================================...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kufanya kura za maoni mtandaoni kwa kulinganisha wanaosemwa kugombea URAIS nchini Tanzania ni makosa?

    Team; Salaam! Sheria ya mitandao ya kijamii na Sheria zingine zinasemaje kuhusu kura za maoni kwa wamaotajwa kugombea URAIS mwaka 2025? Kama itakuwa kitu kinachoruhusiwa kufanyika basi ningeomba Hashim Rungwe Spunda; Zitto Zuberi Kabwe Tundu Antipas Lissu Dkt Samia Suluhu Hassan Ibrahim...
Back
Top Bottom