ubunifu

  1. Ni sanaa na ubunifu tu

  2. L

    Ubunifu unahitajika zaidi kuweza kufufua sekta ya utalii

    Hafla ya kutoa tuzo ya mpango wa utalii wa MKSE imefanyika hivi karibuni mjini Nairobi, Kenya. Kwenye halfa hiyo, waziri wa utalii wa Kenya Bw. Najib Balala amesema mpango huo ni sehemu muhimu ya kukuza sekta ya utalii, moja ya nguzo za uchumi wa nchi hiyo, na unalenga kuyapongeza mashirika...
  3. K

    'Visit Tanzania', Ubunifu mwingine kutoka kwa Barbra Gonzalez

    Wanasimba na Watanzania kiujumla ni kama tumepitishwa kwenye mlolongo wa matukio kadhaa kutoka klabu yetu andamizi kwa muda mfupi. Kwa lugha iliyokuja na meli matukio haya tungeita 'Surprises. Mara Simba Super Cup na sasa Visit Tanzania. Ukiangalia bila kuweka ushabiki yote ni Ubunifu...
  4. S

    Msaada wa kuelewa ubunifu uzalishaji umeme utokanao na sumaku

    Mtanzania mwenzetu abuni umeme utokanao au kwa kutumia sumaku? sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo? na je hakuna kabisa chanzo kingine cha energy kama mafuta, upepo , au hata solar ya kuizungusha hiyo sumaku ili itoe umeme? yaani ni sumaku tu ndio chanzo pekee?
  5. Ubunifu waibeba Arumeru ujenzi wa madarasa

    Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
  6. Usiwaonee huruma wateule wa Magufuli kwani ni chujo la viongozi waliokosa ubunifu na baraka kwa vijana wenye ubunifu wa uongozi waliokuwa wakibaniwa

    Mh. Magufuli ameanza mizunguko yake kote nchini, na kama kawaida viongozi wengine wamekuwa wakipata shida kwa maswala anuwai, lakini zaidi ni uzembe. Na kama kawaida, watu wamekuwa wakilalamika kwamba Rais ni mkali sana jambo ambalo nimeshangazwa nalo. Kwa maoni yangu, rais anapaswa kuwa mkali...
  7. GE2020 Ubunifu wa Godbless Lema na Halima Mdee utumike nchi nzima

    Waja JF, Kwenye majukwaa ya kampeni za uchaguzi, Godless Lema na Halima Mdee wamekuwa wakitumia clips zenye maneno ya wapinzani wao kuonyesha jinsi walivyo vigeugeu katika maisha yao, wenye kutoa ahadi za uongo, nk. Leo wanasema hili na kesho wanasema lile na kwa hiyo wasiaminiwe na wananchi...
  8. VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

    Hongera sana ndugu Humphrey Polepole meneja kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CCM. Bila hivyo uwanja ungekuwa hivi
  9. E

    Uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba

    Habari za leo ndugu na marafiki, natumai mu wazima wa afya njema. Bado naendelea na uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba bomba. Hii ni moja ya ramani ambayo naendelea nayo na hapa ndipo nilipofikia kwasasa. Ila bado haijamalizika bado naendelea kuipamba zaidi.
  10. GE2020 Kuna tatizo kidogo na namna CHADEMA wanavyonadi sera zao. Ubunifu ni kidogo sana na wanashindwa kwenda sawa na matarajio ya Umma

    Ingawa mgombea wao Ameanza kunadi Sera zao, lakini hayapo uzito Mambo yanayowagusa wengi. NI Kama anasema tu juu juu na kukazia maswala binafsi yanayomuhusu yeye na watu wa chama chake. Ajira, kilimo na biashara kila moja kinaweza kumuathiri kila mtu Ila mgombea anashindwa kuonesha kila ajenda...
  11. M-Pesa: Ubunifu wa Kenya wazidi kuongoza Afrika kwa miamala

    Mchango wetu kwa ukuaji wa Africa ni jambo la kufurahisha kwa kweli, tulibuni MPESA na sasa inazidi kuwa tegemeo la Afrika. === Mobile money platform M-Pesa is now processing transactions of Sh1.6 trillion per month in Kenya and other African countries, making it the largest payment platform on...
  12. TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Ndugu WanaJF, Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi. Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
  13. P

    Jesca Cox na Nick Vujicic: TAFSIRI ya ubunifu (Creativity), Wanafanya vitu vya kawaida katika hali isiyokuwa ya kawaida.

    Leo nimepitia vitabu tofauti vikizungumzia maisha na mafanikio ya Nick Vujicic, mlemavu asiyekuwa na mikono Wala miguu na Jesca Cox mwenye ulemavu pia wa mikono( Picha zao nimeambatanisha mwisho wa hili andiko) Nick Vujicic, Hana mikono Wala miguu lakini ana uwezo wa kuogelea, kuchora na...
  14. Ubunifu umegundua Nini kwenye hii picha

    Tazama picha hii kwa makini umeona Nini.
  15. Wajapan ubunifu umepungua au kwanini magari haya yanafanana hivi?

    ALLEV vsRUN X HIMO vs COASTER VAUGUARD vs RAV4 Baadhi ya magani ya Mjapan yanatumia injini aina moja kwa magari tofauti Mfano injini ya 1G FE unaikuta kwenye:- GX100 GX110 VEROSA ALTEZA
  16. Ubunifu wa mavazi

    Habari wakuu,binti yangu anataka kuwa mbunifu wa mavazi,elimu yake ni form six, je nimpeleke kozi gani itayomfaa??? Msaada tafadhali
  17. Live on Star TV, Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia changamoto za Corona Sekta ya Habari

    Karibu Paskali
  18. Waalimu na ubunifu: Spain mwalimu avaa vazi la kuonesha mwili ili kufundisha anatomy

    Veronica Duque(43) aliyefundisha kwa miaka 15, sayansi ya jamii na sayansi ya asili, alinunua vazi la kuonyesha sehemu za ndani za mwili ili kufanya somo la kuhusu mwili lieleweke kwa wanafunzi wake wa darasa la tatu ‘third grade’ Mwalimu huyo anasema aliliona vazi hilo mtandaoni na kavutiwa...
  19. Ni ubunifu tu wa kitasa cha mlango

  20. H

    Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

    Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake. Script writer wa hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…