Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza uchumi wa ubunifu na kutoa fursa zaidi za kiuchumi kwa vijana.
Akizungumza jijini Arusha jana Machi...
Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
Jamii nyingi zilizoendelea Duniani huwa na aina Fulani ya demokrasia. Na jamii nyingi maskini Duniani hujawa na mfumo wa kidikteta.
Mifumo ya kidikteta huzaa viongozi walafi, katili na wasiowekeza kwenye jamii zao zaidi ya kuwekeza kwenye familia zao.
Marekani kwa sasa wana kiongozi dikteta...
Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
Ndugu zangu,
Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa.
Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake katika sekta za kifedha, teknolojia, afya na ajira kwa vijana.
Kupitia kampuni zake Pedima...
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
Habari wakuu,
Najua fika kuwa ni watu wachache sana wenye uwezo wa kiufundi kama huu wangu wa kuunda na kuikamilisha mifumo inayoweza kuhudumia mamilioni ya jamii,
ninacho jivunia siyo utajiri wala umaarufu, bali ni ule uwezo wa kuingia kwenye mradi na kutengeneza na kukamilisha kitu chenye...
Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao)
Mfano una shida yoyote ya ki Academic unaenda mpaka Dar makao makuuu, supervisor wako anakukwepa, ukipiga simu...
Wamemleta Frank Lucas ambaye sioni kama hata ana kauhalisia kwa mbali Bumpy yupo soft sana na hata hawa Gang leaders wengine hawana mvuto.
The story is boring sana. Wanakosa stories za maana, wanakosa ubunifu. Wamechoka sana.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki hiyo yaliyofanyika makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2025. Kushoto ni Eugen Massawe, Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi ya benki hiyo.
Afisa Mtendaji Mkuu...
DKT. SERERA AIPONGEZA POSTA KWA UBUNIFU WA USAFIRISHAJI
📍Nanenane, Dodoma
🗓️ 06 Agosti, 2025
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Shirika la Posta Tanzania kwa hatua kubwa ilizopiga katika utoaji wa huduma kwa njia za kidigitali pamoja na ubunifu...
"CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!"
check out this 4bedrooms with balconies
call/whatsap us +255624004650
design and construction...
📍 SABASABA, Dar es Salaam
🗓️ 5 Julai, 2025
“ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana...
Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake.
Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na...
Viongozi wamehasishwa kuwa wabunifu na wenye kujiongeza zaidi katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo, amewahamasisha wananchi kujiandaa kwa uchaguzi kwa kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo.
“Wananchi...
Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka
Masweta
Soksi za watoto
Vizibao
Kofia nk
Vikapu
Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.