Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...