Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

Mtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....
Mtu aliyewahi kuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi(nisahihishwe)
Mtu ambaye ametoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya 380m juzi tu hapa!!!

Anawezaje kuwa na njaa za kusaka ajira ili mkono uende kinywani.....???

Hebu tuzitoe fikra zetu kwenye gereza la fikra hasi ili kushibisha nafsi zetu mbaya
 
Na sidhani kama jamaa atakosa kuwa na miradi hata ya kilimo
 
Kigwa ameshavuka level hizo,labda aje kufulia huko mbeleni.
 
Huyu bwana ni rafiki yang, kiukweli hali yake ya kifedha ni ngumu sana kwa sasa. Madeni na mikopo inampa takati mgumu sana
Alisema ana utajiri WA bilion 11, alikua anahojiwa , atakuaje na hali ngumu wakati ana mkwanja huo
 
Mwamba baada ya Nzega kumnyooaha ameanza Kusaka ajira mpya ili angalau asikose kitu kila mwezi. Asanteni Nzega
Kwani si huwa ana mifugo huyu? Hawezi kujiajiri mwenyewe mpk aajiriwe? Akamue maziwa auze aache kutegemea ajira
 
Back
Top Bottom