uboreshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, yakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
  2. PreGE2025 LGE2024 Bashungwa Atoa Wito kwa Watanzania Kujitokeza Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    BASHUNGWA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza katika vituo ili kupata...
  3. PreGE2025 Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa)...
  4. RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
  5. Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura unaanza lini? Tulituma maombi ya kazi ila mpaka sasa kimya

    Naomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote. Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
  6. SoC04 Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Walemavu Tanzania - Mapendekezo ya Uboreshaji wake kwa Kutumia Mkoa wa Dar es Salaam kama Mfano

    Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
  7. Nini kinakwamisha uboreshaji reli ya TAZARA Dar kwenda Lusaka?

    Kama mdau wa maendeleo wa nchi hii yetu pendwa..nimekua toka enzi za utoto nikiona matumizi makubwa ya RELI ya TAZARA. Katika utawala wa Mwinyi na Mkapa RELI hii ilikuwa ni kitovu cha uhudumiaji nchi za ukanda wa kusini kama Zambia, Malawi, Congo DR nk. Abiria na mizigo Mingi ilisafirishwa...
  8. SoC04 Lifanyike hili ili kuboresha ujenzi wa miundombinu nchini

    Ndugu zangu naamini nanyi mnakerwa sana na jinsi fedha za walipa kodi zinavyotumika vibaya kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja, majengo ya shule, soko, hospitali na mengineyo chini ya kiwango. Jambo hili limekuwa sio tu likipoteza fedha nyingi za walipa kodi lakini pia...
  9. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo inaletwa na uboreshaji wa elimu katika Sekta ya Miundombinu

    UTANGULIZI Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara na mawasiliano.Hivyo, ni muhimu kuboresha elimu katika sekta hii ili kupata Tanzania tuitakayo.Ziko...
  10. Ili kuchochea uboreshaji wa viwanja LIGI KUU wadau mbali mbali wa soka waandae maandamano ya "viti" na "magunia" kwenye kila mechi.

    Habari wakuu, Mpira wetu umepiga hatua mbili mbele, ila viwanja vyetu vimepiga hatua mbili nyuma. Leo hii Feitoto anachuana na Aziz ki kuchukua kiatu cha mfungaji bora, kipa Rey Matampi anapambana na Diara kuwania tuzo ya golikipa bora, wakati huo Simba akipambana na Azam kupigania nafasi ya...
  11. SoC04 Mpango mkakati Uboreshaji na urahisishaji shughuli na muingiliano maeneo ya biashara katikati ya miji na majiji

    Tanzania imekua ikishuhudia mabadiriko mbalimbali ya kimaendeleo, kufuatia mabadiriko haya vijiji vimekua toka ukijiji hadi mitaa, miji hadi manispaa, manispaa hadi majiji nakadharika. Kufuatia ukuaji huu wa maeneo kasi ya uingilianaji wa shughuli za binadamu ni suala lisiloepukika hivyo...
  12. S

    SoC04 Uboreshaji wenye kuleta unafuu wa usafiri kwa watoto wa Kitanzania (wanafunzi) na chakula mashuleni kote

    Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Nikienda kwenye mada ya namna ya kuboresha sekta ya usafiri ili iweze kuleta wepesi kwa watoto wa kitanzania kupata...
  13. SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  14. W

    SoC04 Uboreshaji wa miundombinu ili kuweka mazingira wezeshi

    Miundombinu ni miongoni mwa sekta ya msingi ambayo serikali inahitaji kutazamia kwa ukaribu zaidi kutokana na mchango wake katika maendeleo ya nchi. Kwa muktadha huo ipo haja ya kufanyika maboresho na ujenzi wa miundombinu bora ili kusaidia ufanikishaji katika kuendea shughuli za uzalishaji...
  15. PreGE2025 Shemsa Mohammed: Wenye Ulemavu na Wazee Wahamashishwe Kujindikisha Katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa ngazi zote kuhakikisha wanahamasisha Watu wenye Ulemavu na Wazee kujiandikisha katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na...
  16. Waziri Bashungwa: Ujenzi na uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora utakamilika Oktoba badala ya Machi, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi Oktoba, 2024. Bashungwa ameyasema hayo Machi 13, 2024 mkoani Tabora katika...
  17. Ujenzi Uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora Kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  18. J

    Ujenzi na uboreshaji kiwanja cha ndege cha tabora kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  19. Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Bandari za Maziwa Nchini.

    Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini. Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
  20. Jaji Mwambegele: Ushiriki wa wadau muhimu kufanikisha uboreshaji wa daftari la Wapiga Kura

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 17 Novemba, 2023 jijini Dar es Salaam. Sehemu ya viongozi wa Dini walioshiriki mkutano huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…