uboreshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thailand

    Uboreshaji wa makazi bora Mijini na Vijijini

    Kabla sijafika miji mikongwe kama Bagamoyo nilijua ni miji ya kuvutia kwa makazi yaliyoboreshwa kumbe nilikuwa najidaganya. Tuongelee mji wa Bagamoyo na makazi yake, yaani wingi wa nyumba za udongo na kuridhika kwa wakazi wazawa wa hapo kwenye huo mji. Mji wa Bagamoyo una jina kubwa lakini...
  2. Jumong S

    Kwanini hizi pesa za Tozo zisitumike kuboresha Umeme nchini?

    Sasa imekua kero yani kero haswa! Hapa nilipo umeme umekatika Mara 3 na mpaka Sasa Hakuna umeme while last year mpk May mwaka huu ilikua TANESCO wakikata ni only one day per week Tena kwa taarifa. Kwanini hizi pesa tunazokatwa bila ridhaa zisitumike kujenga miundo mbinu ya umeme? Tuliambiwa...
  3. P

    Coco Beach kulikoni, kumepita kimbunga au yanafanyika maandalizi ya kupaboresha?

    Asubuhi hii nimepita barabara ya baharini nikielekea Sea Cliff Hotel. Pale maeneo ya Coco Beach ambayo ni maarufu kwa mihogo ya kukaanga nimeona vibanda vyote vimebomolewa isipokuwa msikiti. Kumepita kimbunga au yanafanyika maandalizi ya kuboresha eneo hili maarufu?
  4. DolphinT

    Utoaji wa elimu bila malipo uendane na uboreshaji wa stahiki za watumishi ili kuhakikisha elimu bora

    Nitumie ukurasa huu kuipongeza serikali ya awamu ya tano katika suala zima la kuendelea kupambana na umaskini kwa kujikita katika kujenga Tanzania ya viwanda ambapo kwa matarajio makubwa ni dhahiri kwamba siku za mbeleni suala la ukosefu wa ajira kwa kiasi kikubwa litakua limepungua. Hii...
  5. Elimu story

    SoC01 Uandaaji wa mazingira tamanishi na uboreshaji wa Sekta ya Elimu kwa tija ya maendeleo ya taifa katika sekta zote

    Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili. Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa. Utangulizi. Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa kwa ujumla. Misemo kama: elimu ni ufunguo wa maisha, elimu ni...
  6. D

    Serikali iboreshe sheria ya Ndoa za Kikristu ili ziruhusu talaka kuepusha mauaji na fumanizi

    Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula! ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji! Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo! Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza! Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu...
  7. U

    SoC01 Uboreshaji wa Miundombinu ya usafiri na usafirishaji Vijijini ni kichocheo cha Maendeleo

    Miundombinu ya usafiri na usafirishaji inajumuisha njia zote za usafiri na usafirishaji kama vile barabara, reli, anga na usafiri wa njia ya maji(bahari, maziwa na mito na mabwawa). Miundombinu hii ni kichocheo kikubwa cha maendeleo na ukuaji wa uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja. Lakini kwa...
  8. K

    Ushauri: Uboreshaji wa Shirika la Posta

    Asante sana wana jukwaa wenzangu bado tunatumia fursa hii ya Uhuru wa kujieleza kulingana na katiba yetu kwa kuzingatia maadili na mipaka ya Democracy. Leo napenda kujadili au kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya shirika letu la Posta Kabla ya kuendelea nitoe pongezi ya dhati kwa Serikali...
Back
Top Bottom