ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe katika ubora wake wa unafiki

    Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe Zitto Kabwe: Kauli ya kwanza "Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa." *** Kauli ya pili "Unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi? Maoni ya mchumi ni kwamba wala hatukopi, kwasababu ukiangalia viashiria vya...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  3. JamiiForums Tanzania Ubora wa Kylian Mbape ni kutumia matone ya Vitamin A na Minyoo

    Mchana mwema❗❗
  4. JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  5. JamiiForums Tanzania 'Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote 2022'. Je, unapata Huduma za Afya zenye Ubora?

    Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote' Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa anayeifahamu kampuni nzuri ya kuchapa vitabu kwa ubora wa hali ya juu!

    Natafuta kampuni hapa Dar inayojishughulisha na uchapaji wa vitabu vyenye ubora kama utaweza kunisaidia pia mawasiliano yao itakuwa njema zaidi ! Asanten
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki lia lia wa Tanzania ndo wanaharibu mpira

    Mfano mdogo tu, mashabiki wa Yanga wiki tatu zilizopita kabla ya kufuzu confederation cup walikuwa tayari wameshamkataa Nabi, na wengi wao walikuwa tayari Nabi angefukuzwa just kama angeshindwa kufuzi. Leo hii Yanga imefuzi wametulia kabisa wanafurahia pia na matokeo wanayopata sasa, hawana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala ubora wa Yanga uheshimiwe kwa sasa vinginevyo timu nyingi zitaumia

    Naona kuna baadhi ya mashabiki ambao wao chuki na husda ndiyo wameviweka mbele, badala ya kuangalia mambo ya kuujua mpira. Hata kama unaichukia timu fulani kwa sababu zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli na hauwezi kubadilika. Yanga kampiga Singida goli 4 lakini kuna wale watu wa umbumbuni...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli kufunika sink la choo kwa paving au mchanga kunapunguza ubora wake?

    Naaanisha shimo, Kuna fundi amekuja home akaona shimo lote halionekani, akasema kitaalamu haifai maana paving au kufunika na mchanga kunahifadhi unyevu ambao unaharibu ubora wa cement hivo life span ya shimo inapungua, kuna mwenye kufahamu kuhusi hili? Mi nimelifunika lote
  10. JamiiForums Tanzania UVCCM katika ubora wao🤣🤣🤣🤣

    Wana Maljis naomba comments ziwe fupi fupi
  11. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli katika ubora wake enzi zake

    Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia. Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa. R.I.P JPM.
  12. JamiiForums Tanzania Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

    Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa? Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba Queens ya Tisa kwa Ubora Afrika

    HONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ubora unaosemwa wa Feisal haujawahi kuvuka mipaka ya Tanzania

    Ukianza na AFCON ambayo aliaminiwa sana na Amunike lakini alizingua sana, akawa anaruka ruka tu, nakumbuka mechi moja alitolewa mapema sana na Mkude aliingia kutuliza dimba. Ukija kwa Rivers UTD mechi zote mbili hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuruka ruka. Mechi ya juzi dhidi ya Al Hilal...
  15. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Law School of Tanzania kwa kulinda ubora wa fani ya sheria hapa Nchini

    Kwa moyo wa dhati nipende kuwashukuru watendaji wote wa Law School of Tanzania (shule ya sheria ) kwa kuzingatia weledi katika kufundisha na hatimaye kutoa wanasheria ambao watatumika serikalini pamoja na sekta binafsi. Napenda nikiri wazi kabisa kwamba shule hii ni moja wapo ya taasisi chache...
  16. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Chama Cha Walimu Tanzania Anzisheni Chuo Kikuu cha Walimu na Bodi ya Walimu Ili Kuondoa Upungufu wa Walimu na Kuthibiti Ubora wa Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi chenye sifa pekee zifuatazo kulinganisha na vyama vingine vya wafanyakazi nchini Tanzania: Ndiyo chama chenye wanachama wengi kuliko vyama vingine vyote vya wafanyakazi Tanzania; Ndiyo chama ambacho wanachama wake wote ni wasomi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujiendeleza kwa walimu hukuleti tija ya kuinua ubora na kiwango cha elimu?

    1. Nianze hoja kwa kuomba wahusika na wadau wa idara, kurugenzi na wizara wafanye uchunguzi ili wajiridhishe na kuthibitisha uhalisia wa swali hili. 2. Lengo la serikali kuwapa watumishi wake fursa ya kujiendeleza kimasomo (mafunzo kazini) ni kuweza kuongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    ufanisi wake ukoje?
  20. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ? Karibuni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…