ubaya

Major General Ubaya Medawela RSP, VSV, USP, ndu, psc, MSc was a Chief of Staff of the Sri Lanka Army.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  2. Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  3. M

    Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

    wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
  4. M

    Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  5. Mbona sisi kama taifa tulipiga kelele hayati Nelson Mandela aachiwe? Kuna ubaya gani EU kupiga kelele Lissu aachiwe!

    Tulipopiga kelele na kupoteza rasilimali zetu kwa ajili ya hayati Nelson Mandela aachiwe Afrika ya kusini haikuwa Sovreign state? Ilikuwa dola huru lakini ilikuwa chini ya utawala dhalimu ambao ulimweka jela kwa kesi ya uhaini kwa mizengwe. Mpaka sasa hapa kwetu kesi ya Lissu imeonekana wazi...
  6. Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

    Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa. Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja. Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima...
  7. GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  8. Mungu Atakuinulia Watu Wa Kukataa Ubaya Unaotaka Kutendewa

    Yer 26:16 SUV [16] Ndipo wakuu na watu wote wakawaambia makuhani, na manabii, wakisema, Mtu huyu hastahili kuuawa; kwa maana amesema nasi katika jina la BWANA Mungu wetu. Hapa tunaona nabii Yeremia alipokuwa kwenye hatari ya tishio la kuuawa kwa sababu alitoa ujumbe mgumu kwa watenda mabaya...
  9. M

    Ushauri: Chuki ubaya iliyopandikizwa katika familia yetu dhidi ya ndugu wetu wengine katika ukoo

    Habari wakuu najambo nataka kushare nanyi mnipe uzoefu na ushauri Nina Babu yangu ambae anakua nimjomba wa baba ana Umri wa miaka77,huyu Babu yangu anawatoto walio hai 6 kati ya watoto8 alio kuwa nao ... watoto wake mwenye Umri mdoggo wamwisho anaumri wa miaka36,,huyu Babu yangu mkewe hawa...
  10. S

    Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

    1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki. 2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki. 3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini...
  11. CCM: Nini ubaya wa REFORMS zinazodaiwa na CHADEMA?

    Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani. Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko? Mm binafsi sijapata kusikia mtu hata mmoja, ndani na nje ya CCM akisema hivi, reform hii inayodaiwa na...
  12. Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hili swali

    Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hilo swali maana nimeuliza mashekhe wameishia kusema Mungu anajuaaa tyuu waislamu wa kiume wakifa wakiwa wema wanapewa wanawake bikra 72 na mito ya asali maziwa Sasa jee wanawake wakifa wema watapewa nini huko peponi na kama hawatapewa hivyoo sasa...
  13. Ubaya Ubwela kunawaka moto, kumeumana

    WAMEMFANYIA MWENETU UBAYA UBWELA HUKO SASA WANATAKA KUPELEKANA FIFA Ishu nzima ilianza pale Captain aliposepa wakamsajili beki mmoja mzawa kutoka hapa hapa Timu za Ligi kuu Huyo beki ni mzuri sana lakini changamoto ni kwamba sio mzoefu wa mechi za kimataifa sasa coach wao akasema anamtaka...
  14. Je nikweli shetani ni kiumbe au roho yenye ubaya?

    Habari wana jf ANGALIZO. UZI HUU HAUUSIANI NA DINI KABISA. NI KWAAJILI YA WATU WANAOWEZA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI MAMBO. Kila mtu amewai kusikia, kuona au ata kuhisi uwepo wa nguvu ya shetani. Je nikweli kwamba shetani yupo na anafanya kazi au ni mindset zetu zimekaa ivo. Kila jamii iliyowai...
  15. Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya

    Kabla sijaja public na kudeclare nia yangu ya kutaka kuwa Rais wa Tanzania ilinibidi kwa jasho na damu nijufunze uongozi ni nini??? unfortunately elimu haifundishi masomo ya uongozi kwa hiyo ilinibidi binafsi nijufunze kwa nguvu zote uongozi ni nini Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili...
  16. GE2025 Video: Wajumbe wawafanyia ubaya ubwela wabunge wa COVID-19

    Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19, ester Bulaya, Ester matiko , Nusrat Hanje bila kumsahau bilionea wa nzega mzee wa sinki nje ya box...
  17. Si Kwa ubaya ila nasema fact

    Habari wana JF. Leo nikiwa kwenye harakati zangu hapa mjini Dar es salaam nimepanda bajaji Kariakoo to Msasani. Ndani ya bajaji nilikaa na Mdada mmoja mzuri Sana lakini shida nywele(Rasta) zinatoa harufu mbaya sana aise nimepata tabu sana wakuu zinanuka ile mbaya. Nyie wanawake mjitahidi...
  18. Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    “Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Chanzo: East Africa TV dakika 30...
  19. Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…