ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Munch wa Annabelle

    Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

    Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza. Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
  2. Lycaon pictus

    Jinsi Nyerere alivyofanyiwa hila hadi kuacha kazi ya ualimu

    Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
  3. Munch wa Annabelle

    Ualimu ndo kada ambayo waajiriwa wake akipata kesi na kuhukumiwa miaka 3 jela au faini 3m asilimia 90 wataenda jela

    Walimu mpo!!! Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa bodaboda, mpesa uchwara, duka njaa, upishi kweny sherehe uswahiln na semina, tuishen na kuuza ubuyu na...
  4. Munch wa Annabelle

    Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

    Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija. Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
  5. A

    KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  6. kekule benzene

    INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

    Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu. Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa. Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
  8. B

    Natafuta kazi ya ualimu wa daycare

    Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu...
  9. K

    John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

    Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu. Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche. Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu. Alibahatika kupata...
  10. H

    Nafasi za ualimu home tuition

    Tunahitaji walimu wa Cambridge curriculum kwaajiri kufundisha home schooling. Pia mtaaalamu wa music and keyboard Note: kabla hujaomba tafadhali hakikisha wewe ni expert wa Tangazo tulilotoa 1.Mwalimu wa Biology Advanced level Cambridge curriculum. 2.Mtaaalamu wa music and keyboard kwa kila...
  11. Its Pancho

    Tetesi: UDOM kupunguza programme degree za ualimu, sasa zitabakia nne tu

    I salute you kinsmen. Mara baada ya UDOM kuwa na mkuu mpya chuo kuna mabadiliko makubwa kwa wadogo zetu wanafunzi wa ualimu ndaki ya elimu (college of education) Inaonekana ni mapendekezo ya serikali katika kupunguza idadi ya walimu kwa madai wamekuwa wengi nchini na hawana ajira, hivyo kulimit...
  12. Isenye

    Hizi kazi za ualimu wa masomo ya biashara, mbona sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia?

    Wamesema vigezo ni mtu yeyote aliyesoma shahada ya Biashara lkn kwa sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia. Tunatatuaje hii changamoto wakuu?
  13. BumbleBeeBot

    Baadhi ya waajiriwa wapya kada ya ualimu kutopata mshahara na pesa za kujikimu kwa kipind cha miezi na kuripot kazini mpaka wapigiwe simu

    Habari ndugu zangu.? Naomba ufafanuzi mwenye kujua, inakuaje mtu umepata ajira hizi za utumishi kada ya ualimu toka mwezi wa 3, barua zako za mikataba serikalini zinasoma tar 17 na tar 18 mwezi wa 3. Unapewa week 2 za kujiandaa inamaana utarudi tar 02/04. Kabla ya kurudi maafisa utumishi...
  14. B

    Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  15. S U N N Y

    Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

    Binafsi kwa TANZANIA hii ya Sasa mtoto wangu akisema anasomea ualim namfukuza kwangu saa hiyo 😂🙏😂. Aende akaish kwenye ofisi za CCM huko.
  16. Dennis Robert Shughuru

    Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

    Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo Udaktari Ufundi kama tanesco Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi Polisi Wanajeshi Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa sababu umri unavyozidi kwenda ndo wanakua na utaalamu wa juu Walioajiriwa kwenye kada zifuatazo...
  17. Carlos The Jackal

    Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  18. Poluyakhtov

    Chuo cha Ualimu Dakawa toeni hela ya BTP

    Tunaomba mtupe hela ya kujikimu. Tunakufa njaa.
  19. Kekule Wa Benzene Ring

    AJIRA UALIMU : COMMERCE NA BOOK KEEPING (ACCOUNTANCY)

    Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level. Shule Iko Mbeya Mjini. Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na Account. Mawasiliano: +255754543934 Salary: Government scale.
  20. K

    Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

    Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom