tunduru

For the Mozambique park see Tunduru Gardens; for the village in Mtwara Region of Tanzania see Tunduru, Mtwara.Tunduru is a town in Tunduru District, Ruvuma Region, Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Tunduru District, and is administratively divided into two wards; Mlingoti West (Mlingoti Magharibi) and Mlingoti East (Mlingoti Mashariki).

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polisi Tunduru wazuia mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutokana na kuwepo matishio ya ugaidi

    Mnatuzuga
  2. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius S. Mtatiro aapishwa kuwa Wakili

    MTATIRO AAPISHWA KUWA WAKILI Katika sherehe za 66 za kupokea Mawakili wapya leo, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Julius S. Mtatiro Esq. ni miongoni mwa mawakili wapya 335 walioapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma kuwa Mawakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mahakama zilizopo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Judith Sichalwe (29) sasa kuhamishiwa Mjini, ni baada ya kuzaa Mapacha wanne

    MTATIRO AAGIZA MWALIMU ALIYEZAA PACHA WANNE KUHAMISHIWA MJINI Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuanza mchakato wa kumhamishia kwenye shule iliyoko Tunduru mjini Mwalimu Judith Sichalwe mwenye miaka 29 (mwanamke...
  4. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa ACT-Wazalendo Tunduru Washinda Kesi

    VIONGOZI ACT WAZALENDO TUNDURU WASHINDA KESI: Viongozi wa ACT Wazalendo kutoka Mkoa wa Kichama wa Selous (Wenye Majimbo ya Tunduru Kusini, Tunduru Kaskazini na Namtumbo) waliokuwa na kesi ya kushambulia na kujeruhi katika Mahakama ya Wilaya Tunduru wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana kesi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tunduru Korosho FC yapoke Basi kutoka Japan

    Katika kujiimarisha kuelekea kwenye michuano ya NANE BORA (TOP 8) ya Ligi Daraja la Pili (First League - FL) itakayofanyikia jijini Mwanza kuanzia tarehe 15 Aprili 2022, Timu ya Tunduru Korosho FC maarufu kama Watoto wa Wakulima wa Korosho imepokea basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye uwezo...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Wilaya ya Tunduru kinajaa wananchi sana asubuhi

    Sijaelewa ni mentality ya raia tu kupenda kupelekana polisi kwa kesi hata ndogondogo au ni mazingira polisi wametengeneza ili kupiga hela kwa sababu haiwezekani asubuhi tu kituo kinajaa wateja zaidi ya 100 na ni kila siku mpaka inafikia hatua wanaitwa kwa foleni. Mambo haya hayapo katika vituo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Tani 10 za korosho zilizooza za miaka ya nyuma zakamtwa kabla ya kuingia Sokoni

    MTATIRO AKAMATA TANI KUMI ZA KOROSHO ZILIZOOZA Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ameendesha oparesheni ya mazao wilayani Tunduru kwa siku 2 mfululizo na kufanikiwa kukamata tani 10 za korosho zilizooza za miaka ya nyuma ambazo hazizalishwi wilayani Tunduru. DC Mtatiro ameiongoza Kamati...
  8. S

    JamiiForums Tanzania DED Tunduru aamua kufanya unyama

    Kama ilivyoripotiwa jana mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru amempeleka mwl. wa shule msingi Mrusha polisi ameteswa huko polisi ameshinda njaa na mateso mengine yasiyoelezeka. Tangia asubuhi alishinda polisi usiku wa saa 4 alipelekwa na gari ya Halamashauri nyumbani kwake kupekuliwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tunduru aanza vitisho

    Kama mnavyoweza kukumbuka wanajamii forums kuna taarifa iliandikwa ktk jukwaa hili kuhusu Watumishi wa Halmashauri ya willaya ya Tunduru kuwanyanyasa walimu wapya. Kwamba, walimu waliokuwa na tofauti kidogo katika majina yao walilipishwa Shs 82,000/ kwa ushirikiano kati ya ofisi ya Utumishi na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kunani?

    Wilaya ya Tunduru ni mojawapo ya wilaya za mkoa wa Ruvuma ikiwa mpakani mwa nchi ya Msumbiji. Nauliza hii halmashauri ina mkurugenzi kweli? Nauliza kwa sababu wakati tunasajiliwa km walimu wapya walioajiriwa mwezi wa 6 mwishoni tulifanyiwa mambo ya hovyo kweli. Idara yao ya utumishi na ofisi ya...
Back
Top Bottom