tundu lissu

  1. Tujikumbushe na Majizi ya Escrow

    Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
  2. John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

    Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022.. Msingi wa malumbano hayo ni hoja ya Dr Slaa aliyowahi kuiibua na kuripotiwa hapa hapa JF kuhusu UTEKAJI...
  3. CHADEMA wanaongoza sana siasa za Tanzania, leo mkutano wa TCD umepoa

    Waswahili wanasema hata kama humpendi sungura basi sifia hata mbio zake. Ukweli ulio wazi CHADEMA wanaziongoza sana siasa za Tanzania. Vyama vyote vimeshiriki hadi chama tawala lakini mkutano wa leo (Aprili 5, 2022) wa TCD umepoa sana na hata waliopo huko hawana hamasa ni kama wanapigishana...
  4. Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

    Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa. Tundu Lissu aliwaonya watu...
  5. J

    Hivi kweli Serikali na Bunge hazikuona upungufu wa kuondoa Tozo ya Mafuta? Hakika Pengo la Tundu Lissu halijazibwa

    Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha. Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei lakini halihusishi bunge. Wabunge wote wanapata taarifa kwa sababu wote wana magari ya mkopo na...
  6. J

    Kama Tundu Lissu anaandika Vitabu kwa ajili ya UN na EU basi uwezo wake Kiakili ni mkubwa sana. Nimewaona Waandishi wa Ulaya walivyo Akili Kubwa!

    Nimwkuwa nikifuatilia Press conferences za viongozi mbalimbali wa dunia baada ya Russia kuivamia Ukraine na kugundua Tanzania hatuna kabisa Waandishi wa habari wenye uwezo wa Kuelewa na Kuhoji. Nikajiuliza imekuwaje Tundu Lissu akapata kazi UN na EU? Au ni mchongo? Kama ni kweli yuko UN/EU na...
  7. J

    Msigwa amhoji Tundu Lissu kupinga Wamasai kuhamishwa Ngorongoro, Lissu akosa majibu

    Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine. So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
  8. Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia. Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana. Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
  9. Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

    Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako. Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno...
  10. B

    Wasiotaka Siasa za Kistaarabu wanataka nini?

    Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti. Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu. Leo hii waliokuwa wanalalamikiwa wanakemewa: Tulipo sasa tunategemea kila mmoja atafuata sheria zilizopo kwa...
  11. J

    Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini

    Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani. Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu. Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya...
  12. Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
  13. R

    Tatu Bila za Tundu Lissu. Terms and condition

    Sote tunakumbuka Juzi juzi baada ya tundu Lisu kumaliza mazungumzo na Rais akiwa Ubelgiji Tundu Kama kawaida yake akili mingi mingi alimuwahi Mama na kuweka hadharani mada walizozungumzia. Kwa Mujibu wa Makamu mwenyekiti alidai kuwa Mh Rais alikubali kuwa atayashughulikia yale yote yanayoikwaza...
  14. Ameanza Tundu Lissu nchini Ubelgiji kisha impact yake ikawa Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka na kisha straight Ikulu kuzungumza na Rais....

    This is absolutely strange indeed. Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka. Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...
  15. 5

    What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

    Hii maana yake hasa ni nini? Upinzani Tanzania umekwisha? Chadema walilaumu sana kwanini kipindi kile Maalim alimtafa Magufuli Ikulu na kumsema maalim seif amewasaliti Upinzani, Lakini sasa macho yangu yanashuhudia kile kile kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo - CHADEMA. Wananchi tupate picha...
  16. J

    CHADEMA: Tundu Lissu kurejea nchini na atafanya mikutano nchi nzima, wanachama waombwa kuchangia chama!

    Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi nzima. Katibu huyo amewaomba wanachama wa CHADEMA kuchangia chama ili kukiwezesha kutekeleza...
  17. Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

    Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu. Mungu Ibariki Chadema.
  18. J

    Duni Haji: Wapinzani tusipoungana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo. Alichoongea Zitto ndicho Lissu alichoongea na Rais Samia

    Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo. Mzee Duni amesema alichokiongea Zitto Kabwe pale Dodoma mbele ya Rais Samia ndio hicho hicho alichokiongea Tundu Lisu na...
  19. Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

    Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake. Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali...
  20. J

    CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

    Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu. Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga. Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…