tundu lissu

  1. U

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
  2. J

    Stability ya Tundu Lissu niliiona pale Hayati Magufuli aliposema alimuahidi Cheo ili asigombee Urais 2020 lakini alikataa

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa. Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye mwenyewe alisema Edward akishinda yeye ni Waziri mkuu hivyo Dr Slaa akatoswa. Nawakumbusha tu Makamanda...
  3. M

    Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu

    Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa. Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta. Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo...
  4. U

    Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

    ==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo== Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano wa Tanganyika & Zanzibar wa mwaka 1964 kuwa suluhu yake ni serikali tatu ya muungano, Tanganyika na...
  5. N

    Hoja fikirishi: zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

    Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa? Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za...
  6. M

    Lissu ajenga Hoja nzito ya kwa nini anakemea Rushwa ndani ya Chana hadharani- Ameeleweka

    Akiongea na wananchi wa Mpwapwa Jana, Ndugu Lissu anasema kuwa Wiki takriban mbili amekuwa akishambuliwa "kisiasa" na watu wa makundi matatu kutokana na kauli zake za kuhoji aina ya muungano tulionao na pia kwa kukemea rushwa ndani ya chama. Amesema kuna makundi matatu yameng'aka kwa kauli...
  7. PreGE2025 CHADEMA mpeni Tundu Lissu nafasi ya uenyekiti Taifa

    Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila, kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda. Tunakushukuru sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini. Asante Sana.
  8. Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box . Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya...
  9. B

    PreGE2025 Tundu Lissu: Rushwa za CCM kujaribu kuibomoa CHADEMA ni nyingi mno

    08 May 2024 Mpwapwa, Dodoma TUNDU LISSU LAZIMA TUPIGE VITA RUSHWA, CCM WAMETUMIA RUSHWA TANGU 2015 KUCHUKUA VIONGOZI CHADEMA WAUNGE JUHUDI Source : the chanzo Ndiyo maana wamekuwa wakali baada ya njama za kutumia rushwa kuingilia uchaguzi wa ndani niliosema kule Iringa anasema Tundu Lissu...
  10. PreGE2025 TAKUKURU: Tunaendelea kuchunguza madai yaliyotolewa na Lissu kuhusu fedha chafu ndani ya CHADEMA

    Nipashe imemtafuta Mkuu wa TAKUKURU nchini, Salum Hamdani kutaka kujua uchunguzi wa jambo hilo umefikia wapi baada ya TAKUKURU kutangaza kufanya uchunguzi baada ya kiongozi huyo kutoa shutuma dhidi ya chama chake akiwa kwenye mkutano wa hadhara mjini Iringa. “Uchunguzi ni ‘process’ na inachukua...
  11. PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna ushirika wa ajabu unashambulia hotuba zangu, yupo Kinana, Nape na Halima Mdee

    Tundu Lissu ameendelea na Mikutano ya Hadhara na leo yupo wilaya ya Mpwapwa ambapo pamoja na mambo mengine amesema tangu atoe hoja zake siku ya Muungano, Aprili 26, 2024, wamekuwepo watu wengi wanaomshambulia akiwemo Abdulrahman Kinana, Nape Nnauye na Halima Mdee ambaye kwa maneno yake kamuita...
  12. Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

    Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo...
  13. Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

    Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya Oman. Kauza bandari & misitu yetu; anafukuza Wamasai Ngorongoro; sasa anagawa & viwanja vya ndege. Bado...
  14. F

    Tundu Lissu ni shujaa wa nyakati zijazo na CHADEMA ndio chama chetu

    Kati ya mambo mengi ambayo kwayo Tundu Lissu atakumbukwa nayo ni ushujaa wake katika kutetea ukweli. Lissu hana unafiq na yupo tayari hata kufa ili kutetea ukweli. CHADEMA tuna hazina kubwa sana kupitia kwa mwanasiasa huyu machachari Tundu Lissu na tunapaswa kumuunga mkono, ameonesha njia! Huu...
  15. Lissu ni mtu muhimu kwenye mapambano ya kudai mageuzi, tumtumie kabla hatujachelewa

    Nilijaribu kupitia Mitandaoni kuangalia kinachoendelea nakugundua Lissu ana Ubongo wa kipekee sana. Anaijua hii nchi na watu wake tofauti na tunavyodhani, ndio maana kauli zake hutafsriwa negative na wale wenye ubongo hafifu. CCM wanamuelewa sana nini Mwamba anamaani shida yao wahahofia...
  16. B

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Jaji Mkuu wajitokeze Kujibu au kufafanua Hoja za Tundu Lissu. Hawa wengine wanajichanganya tu

    Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu. Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu...
  17. N

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na...
  18. PreGE2025 Hoja ya rushwa upande mmoja iliyotolewa na Tundu Lissu

    Tar 2 May Mh Lissu akihutubia Mkoani Iringa alitoa shutuma za Rushwa kwa Mafumbo, lakini alikua akimlenga Mh. Joseph Mbilinyi, lengo lake kwenda Iringa ni Kumshika Mkono Rafiki yake Peter Msigwa. Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa mwenye upande, ameamua kwa uwazi kumuunga Mkono Mh. Msigwa. Uhalali...
  19. Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi. Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu...
  20. Tundu Lissu ni Goat katika siasa za Tanzania

    Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania. Kapigwa risasi Ila yupo imara. Kawekwa ndani sana Ila yupo imara. Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara. Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule. Hivyo Lissu to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…