tundu lissu

  1. sonofobia

    Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  2. Nelson Kileo

    Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

    Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara. Source: New star tv ...
  3. Erythrocyte

    Tundu Lissu kuunguruma Temeke 26/5/2024

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM. Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na kwamba mkutano huo utafanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga, Tandika Kwa vile kwa sasa niko DSM...
  4. chiembe

    PreGE2025 Tundu Lissu, wanaposema wako nyuma yako kamanda, sasa ni muda wako wa kukusanya takwimu, 2025 usije sema umeibiwa kura

    Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja. Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
  5. J

    PreGE2025 Tundu Lissu: Job Ndugai hakuchaguliwa na mtu yoyote!

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu Jambo TV
  6. ChoiceVariable

    PreGE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

    Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news. Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na...
  7. Erythrocyte

    PreGE2025 Kibaigwa: Wananchi Wazuia Msafara wa Tundu Lissu, walazimisha awahutubie

    Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana Akihutubia...
  8. N

    Tundu Lissu ni almasi inayong'aa yenye kuleta matumaini kwa Watanzania

    Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi wake wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Amekuwa Mbunge nchini Tanzania na amewahi...
  9. J

    Tundu Lissu asiye na Ulinzi risasi 16 kapona, Ebrahim Raisi mwenye Ulinzi kafia porini. Atukuzwe Mungu wa Israel!

    Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti. Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake na risasi zikaishia miguuni huu ni muujiza Muujiza wa pili ni Beki 3 Kuendesha Gari kwa Kasi ya...
  10. M

    PreGE2025 Ndugu yangu Freeman Mbowe jiandae, Tundu Lissu anajiandaa kupambana na wewe kwenye nafasi ya Uenyekiti

    Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao finyu ana uwezo wa kuingiza watu barabarani na kuiondoa serikali kwa njia za kihuni. Kumchangia...
  11. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  12. F

    Gari ya Tundu Lissu ni kielelezo cha gharama za kuitoa CCM madarakani. CHADEMA tumnunulie Lissu gari jingine

    Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena. Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania. Tundu Lissu...
  13. GENTAMYCINE

    Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  14. Roving Journalist

    PreGE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  15. B

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana wake woote. Kwamba Tundu Lissu anaweza kuwa na Influence kwenye Tasisi kubwa kama baraza la Taifa...
  16. U

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
  17. J

    Stability ya Tundu Lissu niliiona pale Hayati Magufuli aliposema alimuahidi Cheo ili asigombee Urais 2020 lakini alikataa

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa. Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye mwenyewe alisema Edward akishinda yeye ni Waziri mkuu hivyo Dr Slaa akatoswa. Nawakumbusha tu Makamanda...
  18. M

    Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu

    Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa. Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta. Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo...
  19. U

    Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

    ==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo== Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano wa Tanganyika & Zanzibar wa mwaka 1964 kuwa suluhu yake ni serikali tatu ya muungano, Tanganyika na...
  20. N

    Hoja fikirishi: zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

    Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa? Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za...
Back
Top Bottom