Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake.
Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko kwa wanaohongeka.
Lissu naye ni kama wanasiasa wengine tu. Na yeye hudanganya pia.
Kwenye haya...
Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana wanaopenda mabadiliko.
Sasa Kwa jinsi vijana hawa walivyo na kiu ya mabadiliko , wengi wao wameegemea...
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka".
Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia...
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.
Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya...
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa...
1. Kwasasa hakuna upinzani wa kweli, upinzani wa kweli uchangia ustawi na Maendeleo. Ninyi mnaonekana kuwa wapambanaji huru , mtakuwa na Chama imara kama Umkontho We Sizwe Cha Zuma
2. CHADEMA (mbowe) au act wazalendo (Zitto) vimeshakula nyama ya mtu haviwezi kuacha. Ndio maana hata act...
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.
Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?
Kuna haja...
Wanabodi
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
"Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika?
Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya watu wa TANZANIA
Ilikuwa ni kama mchezo hivi, mara masikio ya Watanzania na duniani kote...
Habari yako mhe. Tundu Lisu?
Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema.
Leo nimeamua kukuandikia wewe mwenyewe direct humu kwa lengo la kukufungua macho na akili yako...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi...
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba
Ni nadra sana kuwapata wanasiasa wa aina hii Katika Dunia ya Leo
Nimekuwa nikiwafuatilia sana Tundu Antipas Lisu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi.
Pamoja na kuzungumzia Kikokotoo kwa wafanyakazi, Jambo lililowafanya Askari zaidi ya 50 waliokuwa kwenye...
Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga na kusimamia raslimali zetu huko bungeni.
Tundu Lissu aachane na ndoto za kugombea urais aende...
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na CHADEMA (COVID 19) ameingia kwa kishindo wilayani Mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake
Kadhalika Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki
Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu...
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea.
Hili kwa sasa ni tatizo kama...
Tundu Lissu anajua kuongea. Hakuna mwanasiasa anaweza simama jukwaa moja na Tundu Lissu kubishana. Hakuna Chama Chetu CCM na nje ya chama au any chama.
Lissu akianza kuongea utapenda msikiliza ana facts anajua mambo. Ni mzuri katoka kuelezea jambo. Kama ambavyo Prof Kabudi pia alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.