tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Lissu: Poleni ila Amini Mahamba niko nae siku nzima kesho

    Wakuu, Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaendelea kesho Agosti 11, 2026 saa tatu asubuhi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo ndipo shauri hilo linaposikilizwa. Neno la Lissu leo akiwa anatoka Mahakamani mara tu baada ya kesi yake ya Uhaini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

    Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
  3. JamiiForums Tanzania Je, Rais samia na serikali yake wamekaidi maelekezo ya Jumuia ya madola kumuachia Tundu Lissu?

    Lissu bado anazidi kushikiliwa na kuburutwa mahakamani bila kosa ambalo litaweza kuthibitika.Siku thelathini walizotoa jumuia ya madola zinaisha leo.👇
  4. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  5. JamiiForums Tanzania Si mnajimwambafy kuwa hii nchi ni ya kwenu. Fanyeni madhara yoyote kwa John Heche au Tundu Lissu halafu muone kitavyonuka

    Kama mnataka kuona nguvu ya umma ikoje basi fanyeni uthubutu wa kumdhuru John Heche au Tundu Antipass Lissu. Wananchi wana machungu moyoni juu ya taifa lao la Tanganyika halafu mnawatisha kupitia utekaji na mauaji. Kama nyie na bunduki zenu, vifaru vyenu na mabomu yenu fanyeni madhara kwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Heche na Lissu wameweka historia kubwa sana. Mbeleni tutakuwa na majengo na mabara bara yao, vizazi vijavyo vitahadithia

    Iko siku nchi hii itakuwa na Bara bara, madaraja, majengo na taasisi zitakuwa kuwa na majina ya hawa mashujaa wawili. Haya hatutaweza kuyasema mchana wala hatutaweza kusema mbele ya Camera. Nina uhakika mbele ya Safari siku ccm ikianguka hawa watakumbukwa sana tu. Ujasiri wa Kupigwa Risasi na...
  7. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Tundu Lissu na Balozi Masilingi walivyokabiliana vikali VOA kuhusu Shambulio la risasi na Uchunguzi wake

    Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake. Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wito: Mahakama ikikataa Tundu Lissu kulipwa fidia, Watanzania tumchangie iwe ni fidia mbadala

    Mimi huu ndio ushauri wangu kwasababu tabu na mateso anayopitia ni kwasababu yetu, watoto wetu, wajukuu zetu na hata vitukuu vyetu. Tukumbuke alishapigwa risasi na leo yuko jela zaidi ya mwaka na hii ni kwasababu ya uzalendo wake kwani vinginenyo,, angeshatusaliti kama walivyofanya wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Shauri la uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri kuendelea Mahakama Kuu kuanzia August 10 - 7 Septemba, 2026

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imepanga kufanya kikao cha kusikiliza Shauri la Uhaini Na. 19605/2025 linalomkabili Tundu Lissu kuanzia tarehe 10/08/2026 hadi tarehe 07/09/2026. Kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kikao hicho, kitafanyika kikao cha awali cha kujadili maandalizi ya usikilizwaji...
  10. JamiiForums Tanzania " The trial that go no where except to keep Tundu Lissu in prison" Anonymous

    Watanzania wanamuunga mkono Lissu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM na Wakuu wa Majeshi shinikizeni kuachiwa Tundu Lissu

    Tanzania kwa sasa inaviashiria vyote vya kuelekea kwenye failed state na vita ya wenyewe kwa wenyewe, anayezuia nchi hii isiingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ni Tundu Lissu kwa sababu hajawahi kuwaambia Chadema watafute silaha. Licha ya Tundu Lissu kuwa mwanasiasa machachari ila ameamua...
  13. JamiiForums Tanzania From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

    ================ URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk. For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case. His...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya faragha ya Tundu Lissu kuendelea tarehe 16 September, 2026

    Shauri la Kikatiba namba 7300 la mwaka 2026 linalohusu madai ya kunyimwa faragha kwa Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, limeahirisha hadi Septamba 16, 2026 kwa ajili ya kutajwa. Shauri hilo liliendea leo Alhamisi Julai 23, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma...
  15. JamiiForums Tanzania Uamuzi shauri la Kikatiba la Lissu kujulikana Septemba 16, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amerudishwa rumande baada ya kumalizika kwa usikilizwaji wa Shauri la Kikatiba kwa siku ya leo Julai 23, 2026 Shauri Na. 7300/2026 limesikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, inayoketi vikao vyake katika...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu maoni yake kuhusu michango ya Tonetone

    Facebook Mhe. Brenda: Mwenyekiti Tonetone imefika Milioni 174.5 mpaka jana usiku Mhe. Lissu : Waambie waongeze bidii, Baraza Kuu lifanyike CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba: 22606600140 Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Nilimwambia Tibaijuka nchi lazima iendeshwe kwa mujibu wa sheria, Tundu Lissu yuko kwenye mhimili wa Mahakama

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umuhimu wa kuheshimu misingi ya katiba na uhuru wa mihimili ya dola, akibainisha kuwa mahakama ni mhimili huru unaopaswa kuachwa utekeleze majukumu yake bila kuingiliwa au kujadiliwa kisheria. Akizungumza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu - Siku ya pili

    Mahakama imeanza soon nawaletea Updates za kesi. Huu ni muendelezo wa kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa chadema dhidi ya haki za mawakili kutpewa vikwazo na mamlaka za magereza kukutana na wateja wao ikiwemo haki ya faragha na kutosikilizwa kwa mazungumzo baina ya mawakili na wateja wao. Stay...
  19. JamiiForums Tanzania Hata wao walishindwa kuzuia tabasamu lao!

    Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili. Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao. Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe. Naamini...
  20. JamiiForums Tanzania Bwana Jela Gereza asema hatawaruhusu viongozi wa CHADEMA kumuona Lissu sababu kesi iko mahakamani. Jaji amshangaa

    KITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI. Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias Mahinyila, Dickson Matata lakini pia viongozi wakuu wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…