tundu lissu

  1. SI KWELI PreGE2025 Lissu amesema wanasitisha msimamo wao wa no reform no election

  2. Kwako Lissu; Kwenye public speeches na Live interviews kunahitaji Sanaa ya kuusema ukweli na kuepuka UKALI wakati usio sahihi ili kushawishi watu

    Hamjamboni wote! Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala. Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu. Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo. Hapa kuna...
  3. PreGE2025 Lissu: Watumishi wa Umma hawatakiwi kusimamia Uchaguzi kwa vile ni Watumishi wa Rais

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi na Rais wakati wowote akitaka wala bila kufuata sheria za Utumishi wa umma , na mtumishi huyo hana pa...
  4. PreGE2025 No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha kuwa Chadema ya Mbowe sio sawa na Chairman Lissu. Lissu yupo kwa maslahi ya taifa

    Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa. Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa...
  5. PreGE2025 Tundu Lissu na hoja zake dhaifu dhidi ya Serikali

    Na Mwandishi Wetu – Songea Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa wa kisiasa nchini Tanzania. Katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Lissu alitoa...
  6. PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  7. Paschal Mayalla ni vyema atambue wanachodai CHADEMA sio ‘huruma ya Rais’ bali ni haki yao

    Wakuu nipo Live Jambo Tv namsikiliza Mheshimiwa Tundu A. Lissu Juu ya No reform no election akichambua kiundani matatizo ya kimfumo na kikatiba ya Mfumo wa uchaguzi na jukwaa la wahariri Tanzania. Kuna huyu ndugu Paschal Mayalla wakati WA maswali na majibu Kwa mh. Lissu ameuliza swali ambalo...
  8. PreGE2025 Tundu Lissu: Kuwe na Tume ya Uchaguzi inayoshitakiwa ikikosea kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam "Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya...
  9. PreGE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

    Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
  10. PreGE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  11. PreGE2025 Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani. Soma: Hali ya Vyombo vya...
  12. B

    PreGE2025 Kwa Mujibu wa Tundu Lissu, Majimbo Mapya hutengezwa kutoa fursa kwa watu fulani fulani nao wapate majimbo. Kama ni kweli basi tuna safari ndefu

    Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari. Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana. Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini. Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo...
  13. PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  14. PreGE2025 Chadema yapigilia msumari masharti ya kushiriki kwao, wakisisitiza 'No reform, no election'

    https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akisisitiza kuwa chama hicho kilikumbwa na majeraha makubwa wakati wa kampeni za...
  15. PreGE2025 Victor Makundi (UVCCM) azitaka Mamlaka za Kisheria kuchukua hatua dhidi ya Tundu Lissu kwa Kukaidi Katiba

    MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Victor Makundi amekitaka Chama cha Wanasheria nchini, Tume ya maadili ya Mawakili na Mahakama kuu kutomfumbia macho mwanachama wao Tundu Lissu anayejaribu kuipoka Katiba ya nchi madaraka yake na...
  16. Lissu na Heche wanatakiwa kuelimishwa protocal za mavazi. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka lakini kaivaa Heche badala ya Lissu

    Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
  17. L

    PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

    Ndugu zangu Watanzania, Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo. Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu...
  18. Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  19. PreGE2025 Tundu Lissu ampongeza Friedrich Merz kwa Ushindi Ujerumani

    Taarifa yake hii hapa Jambo la kufurahisha, kwenye Uchaguzi huo ni kwamba, hakuna mgombea aliyepata %99 kama inavyopata ccm ya Tanzania, wala hakukuwa na Mgombea aliyekatwa kama wanavyokatwa Wagombea wa Chadema huko Tanzania. Mungu Wabariki Wazungu
  20. S

    PreGE2025 Hakuna jambo analolifanya Tundu Lissu ambalo Maalim Seif Shariff Hamad hakulifanya katika kusaka Dola na hakufanikiwa

    Mkongwe Maalim Seif hadi anakwenda kwa muumba wake (Mwenyezi Mungu amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi) amefanya Kila jitihada za kuingia Ikulu ya Zanzibar lakini hakufanikiwa, hakuna mkakati, mpango, mbinu ambazo Maalim hakuzitumia. Kwa mfano Leo Tundu Lissu anasema No reforms no...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…