tundu lissu

  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi. Pia anaonekana yupo imara sana...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

    Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo? Pia soma LIVE -...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

    https://www.youtube.com/live/9TLDeGzo4I4?si=2c8MZ_S_QZrJKEBl Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu ililetwa kwa ajili ya...
  4. Damian Wayne

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martha Karua wa Kenya ameshikiliwa Tanzania kabla ya kesi ya mahakamani ya Tundu Lissu

    Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu

    Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu. Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dr. Mollel amemsifia Tundu Lissu au amemkejeli?

    Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu: 1. Ana IQ ndogo sana 2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu 3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu! Hizo ni sifa au kejeli?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu kuachiwa huru Jumatatu?

    Kufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru. Stay tuned.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naapa sitoondoka Chadema labda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani

    Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani, Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche, lakini siyo hivi vyama vya waganga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mapito ya Lissu na CHADEMA katika Lenzi ya Maandiko mtakatifu na harakati za kutafuta ukombozi

    Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni wakati wake. Yeyote atakayejaribu kuyazuia yatamtupa pembeni au kumsaga tikitiki, maana hili ni...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

    Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai, Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania. Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba wamekuficha na kushindwa kukuchafua na kukufuta kwenye nyoyo zetu na ulingo wa siasa hata kama ni za...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa IDU waazimia kwa pamoja, Tundu Lissu aachiwe mara Moja. Mke wa Lissu ahutubia

    CCM na Genge lake, walikaa Wakaona wamkamate Naibu Katibu Mkuu, ili ashindee kutoa Hotuba kwenye Mkutano wa IDU Nchini Ubelgiji. ( Unaweza jiuliza Mkuu, Hivi CCM na Genge lake hamna mwenye Akili, yaan Kwa Dunia ya Leo, unamkwamisha MTU safari ili asipate fursa ya kufikisha mawazo na Maoni ?)...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alishachaguliwa na Mungu anapendwa tu na Wananchi, CHADEMA inapendwa na Wananchi, anayehama atapotea, anayehamia CHADEMA atainuliwa

    Wakuu nadhani hili tuliweke sawa. Hivi mnajua TUNDU LISSU ni mpakwa Mafuta wa Mungu!? Huyu Mh yeye anapendwa tu yaan yeye hata asingeshinda Uenyekiti akahama chama au akaanzisha chama chake, Wananchi watamfuata tuu na bado atakua tishio. CHADEMA inapendwa na Wananchi , kwahiyo Kiongozi akiwa...
  13. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ataachiliwa kabla ya Uchaguzi Mkuu na Atagombea japo hatashinda

    Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu. Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito kweli kweli, Huyu mtu simjui ila nimepitia Huko youtube anatabiri mambo mengi sana. sasa Sijui kama ni...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Tundu Lissu: Tutaiomba mahakama iamishie shauri Law School ili watu waje wengi

    Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wanatoa tamko muda huu jijini Dar es salaam mbele ya Waandishi wa habari.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ni matusi kwa Waafrika kumfananisha Tata Madiba (Nelson Mandela) na Tundu Lissu

    1. Mandela hakuficha watoto wa mke nje ya nchi wakati akiwa jela, Lissu ameficha mke na watoto Marekani akisingizia sababu za kiusalama. Wakati wa Mandela, SA ilikuwa hatari zaidi lakini waliamua kubaki nchini. 2. Mandela alitanguliza maridhiano badala ya visasi. Baada ya kutoka gerezani -...
  16. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Lissu: Tujitokeze kwa wingi kusikiliza kesi ya Lissu, Mei 19

    Mawakili wanaomuwakilisha Tundu Lissu wakiongozwa na Wakili Jebra Kambore, Dickinson Matata wanazungumza na waandishi wa habari Mei 14, 2025. Itakumbukwa mteja wao Tundu Lissu anakabiliwa na Kesi mbili uhaini na kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni. Kesi hizo mbili zinatarajiwa kutajwa Mei...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: Siwezi kuongelea kesi ambayo ipo mahakamani ila najua Lissu ana kesi ya uhaini

    Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati kuu ya chama na nikajuwa kwamba hii kesi ya Mbowe ya ugaidi haina mashiko. Ila hii ya Tundu Lissu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaomshabikia Lissu hawazingatii maslahi ya Taifa

    Wadau hamjamboni nyote? Haya ni maoni makini kabisa yasiotia shaka hivyo wewe mchangiaji uache jazba na kejeli unapochangia uzi huu Ndiyo mashabiki wake wengi hawana shughuli rasmi za kwenye mifumo, hawako makini kuainisha au kuchambua sera husika na hawatangulizi maslahi mapana ya nchi yetu...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama ukifanikiwa kupata fursa ya kukutana na rais Samia kuhusiana na kadhia ya Tundu Lissu, unaweza kumshauri nini?

    Japo kadhia ya kukamatwa na kuwekwa ndani na kufunguliwa mashitaka ya uchochezi na uhaini linachukuliwa kuwa ni la kisiasa, ni la kijamii hata kiuchumi pia. Hivyo, kama wadau, tuna haki na wajibu kushiriki kulitafutia suluhu mujarabu. Je kama mdau Mtanzania, kama ingetokea ukakutana au kupata...
Back
Top Bottom