Ndugu zangu Watanzania,
Nimesoma na kuusoma Ujumbe Unaodaiwa kutoka kwa Tundu Lissu,Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye yupo Ukonga Gerezani ambako anaendelea kushikiliwa kwa Makosa ya Uhaini yanayomkabili.
Ambapo katika ujumbe wake huo pamoja na Mambo mengine aliyoyaelezea ,Amesema ya Kuwa...
Tanzania hatujui kudai haki zetu wala haki zenyewe hatuzijui. Kama Gen Z tu walizuia mswada usisainiwe na rais je ingekuwaje raila angewekwa mahabusu?
Tanzania ni wajinga wote na nadhani kitendo cha CCM kutupa hiinelimi ya madesa vyuoni basi waliua kila kitu.
Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga.
Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo,
Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari.
https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1
Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
TISS nawaagiza acheni mzaha na ulinzi na usalama wa watu potential nchii hii itaangukia kwenye machafuko!!
Mlindeni Tundu Lissu ikiwezekana kwa Sasa awe anaonana na ndugu tu na sio mtu mwingine pale gerezani.
Watu watasimama kuhesabiwa acheni kucheza na usalama wa Taifa.
Hawa washamba wa...
Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE).
Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka.
Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko.
Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
Aisee ngoja tukumbushane akili hapa, maana kuna vitu vinaenda kama sinema, lakini maisha si movie—ni real life.
Hebu tujiulize kwa akili straight up:
Tundu Lissu yuko gerezani – but for real tho, what he really do? Ni kosa gani halali ambalo lina-weight ya kumuweka ndani? Sheria gani haswa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao wakiwa magerezani kupitia Mahakama Mtandao, hasa kunapokuwepo na viashiria vya matishio ya kiusalama...
Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe.
Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako.
Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa walishangaa sana. Walidhani Mtoto wao wa Kiume amechanganhikiwa kwenda kuoa kwa Watesi wao.
Lakini jambo...
Wanabodi,
Naamini kwamba msimamo wa mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu ndio utakao tufahamisha kama kweli hana hatia.Ushahidi wa kutosha kutoka upande wa serikali ndio unaoweza kumshawishi hakimu kutoa adhabu ya kifo kwenye kesi hii ya uhaini.
Mwanasheria yeyote mwenye nafasi ya kumtetea...
Kila mtu anashangaa ni kwanini kesi ya jinai (yenye makosa matatu ya uchochezi) na ya uhaini (treason) zote zikimkabili mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Ndugu Tundu Lissu zimekuwa na complications za ajabu ajabu kiasi hiki..
Mlolongo wa matukio:
Tarehe 10/4/2025:
➡Afikishwa kwa mara ya kwanza ktk...
Sikilizeni Wapinzani,
Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia,
Fanyeni hivi,
Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
Mtuhumiwa Tundu Antipass Lissu akiamini shauri lake linapaswa kusikilizwa kwa wazi kwenye Mahakama ya Wazi inayoruhusu watu kuingia na kufuatilia mwenendo wa Kesi amegoma kesi yake kusikilizwa kwa njia ya Mtandao ambayo kimsingi sio njia ya Wazi ya usikilizwaji wa Shauri.
Tundu Lissu amekuwa na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
Afisa wa Magereza amesema hayuko tayari kwa utaratibu wa virtual
Mheshimiwa Mrema wakili wa serikali anatambulisha jopo la mawakili wa serikali kwa upande wa jamhuri yupo pia Thawabu Issa, Cathbert Mbiringe, Harrison Lukosi.
Upande wa utetezi wapo mawakili wafuatao
1. Mpale Mpoki
2. Dr...
Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara Chacha Heche
ameeleza masikitiko yake kufuatia hatua ya Jeshi la Polisi
Kanda maalum ya Dar es Salaam kuwazuia wafuasi wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kuhudhuria kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu...
Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.
Ametoa mifano kadhaa kwamba;
1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma)...
Uhaini!!
Habarini Wana Jamii Forum, kunajambo naombeni mnijuze kwa wenye uelewa juu ya hili swala la (uhaini)...., na kwanamba Gani Lina matokeo hasi katika siasa za nchi, na je vyombo vya kisheria pamoja na serikali vinazungumziaje kuhusu wahaini? Yani hukum kama mtu akibainika na uhaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.