tundu lissu

  1. S

    JamiiForums Tanzania TBT: Tundu Lissu akiwashukia wanufaika wa mgao wa ESCROW akitaka washughulikiwe

    Tundu Lissu alipokuwa bungeni alikuwa machachari, mwenye kuibua hoja nzito na kuhoji bila woga linapokuja suala la maslahi ya wananchi. Safari yake bungeni ilikomeshwa mwaka 2017 baada ya kuminiwa risasi za kutosha hali iliyopelekea hadi leo hii yeye kutembea na makovu ya matundu ya risasi...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ndani ya kipindi kifupi tu Lisu amekipasua chama vipande viwili, G55 na timu Lissu

    Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu. Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

    Bravissimo Al-Jazeera! Hapendwi mtu wala haogopwi mtu. Afanyaye zuri na jema, atapongezwa. Atayeharibu, atachanwa tu. Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu. Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jambo ambalo Dola na Polisi wanatakiwa walifahamu japo watajitia Ugumu na Upofu. Mabadiliko ni Lazima

    Jambo ambalo Dola na Polisi wanatakiwa walifahamu japo watajitia Ugumu na Upofu , Mabadiliko ni Lazima. Nikawauliza, Mnauhakika huyo mnayemsimamia, atawaondoa kwenye matumizi ya Nguvu?. Sasa mapemaaa tayari Mmevunja watu , Mmeua . Haya yote yanawaunganisha Watanzania .
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu, yaahirishwa hadi Mei 6, 2025 na itasikilizwa kwa njia ya mtandao

    Jopo la Mawakili 31 wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti huyo. Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu

    Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi. Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kibatala: Lissu kagoma sababu sheria imekiukwa, alipaswa awepo kwanza mahakamani kusomewa Mashtaka kwa mara ya kwanza kabla ya kuhamishiwa mtandaoni

    Ripoti kutoka Mahakamani, Wakili Peter Kibatala amesema Lissu amegoma kusikiliza kesi yake Mtandaoni sababu sheria imekiukwa, alipaswa awepo kwanza mahakamani kusomewa Mashtaka kwa mara ya kwanza kabla ya kuhamishiwa mtandaoni. Kibatala anasema yeye na mawakili wenzake walienda Jela, Ukonga...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia mwenendo wa kesi hii. Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam Inayoketi Kisutu Shauri la Jinai namba 202504102000008606 Jamhuri dhidi ya Tundu Antipace Lissu mbele ya Mhe. Geofrey Mhini, Hakimu Mkazi Mwandamizi. Tafadhali tumia kiungo (link) kifuatacho kuendela na shauri ya njia ya mtandao>>> JoT - Virtual Court...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu?

    Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza Hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu? Kuna mkanganyiko wa habari kuhusiana na mpango wa CHADEMA kwenda Mahakamani, je Wananchi tushike lipi kati ya CHEDEMA kwenda Kusikiliza hukumu ya Mwenyekiti Tundu Lissu au kwenda kufanya vurugu?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kama tuna visual courts siku hizi, kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Kisutu?

    Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually. Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

    John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu "Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu na leo John Heche

    Nilichojifunza mimi ni kwamba, kuna mkakati maalumu wa kujaribu kuwanyamazisha viongozi wa CHADEMA. Inawezekana wamepanga kuwakamata viongozi wote wa ngazi ya juu wakiwa na lengo la kupisha kwanza uchaguzi au kudhoofisha upinzani. Nilichojifunza cha pekee ni kwamba, Watanzania bado...
  14. Tanzanized S

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha Insha: Tundu Lissu ni Taa Juu ya Kilele cha Mlima na Pumzi Mpya kwa Taifa Letu

    Katika historia ya mataifa, huwa kuna wakati ambapo nchi hujikuta katika giza nene la Kisiasa, Kijamii au Kiuchumi. Katika nyakati kama hizo, hujitokeza watu wachache wenye uthubutu, maono, na ujasiri wa kupaza sauti kwa ajili ya Haki na Ukweli. Tanzania, taifa letu pendwa, limepata mashujaa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa Heche na kuwekwa gerezani Tundu Lissu

    Tusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu . Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa na hafai kuwa kiongozi

    Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri. Pia, Soma: Sheikh...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Annatropia Theonest: Reforms ni sehemu ya 4R za Rais Samia, ahoji kukamatwa Lissu kisa kudai mabadiliko

    Mbunge wa Viti Maalumu Chadema na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Annatropia Theonest ahoji watu kuhitaji 'Reforms' ni kosa baada ya Mwenyekiti wa Chama hichoTaifa, Tundu Lissu kuweka ndani.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tegemea 24/04/2025 Tundu Lissu kutoletwa Mahakamani au Jaji kutokomea pasipojulikana

    Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba. Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya...
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kichaa tu ataacha kusapoti anachofanya Lissu

    Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania Wallah kama kiongozi tunaye Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamachinga na Waendesha Bodaboda waitisha press kupinga kutokea kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Wakuu, Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24. Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed. ----------------------------- Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji...
Back
Top Bottom