Wakuu
Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa.
Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
Wandugu
Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi.
Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo mashahidi wanapaswa kuanza kutoa ushahidi leo?
Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani.
Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyo
Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa.
Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM
Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼
"Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.
Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru...
Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.
Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu Kiholela.
Wakili wa Lissu, Robert Amsterdam amesema malalamiko hayo ni sehemu ya kampeni pana ya...
Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention)
Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu...
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Prophet Malisa akifanya mahojiano nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma alipokuwa amealikwa kwenye Mkutano...
Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni?
Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
UMUHIMU WA KUCHAGULIWA LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU KATIKA SIASA ZA UPINZANI NCHINI TANZANIA!
Watu wengi wanajadili kuhusu Tundu Lissu kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa IDU. Kilichovutia wengi ni kitendo cha kuchaguliwa kwake akiwa gerezani hivyo kuthibitisha uwezo na mvuto wa Lissu hata...
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura
Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
Mpo Salama bila Shaka!
Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo.
Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?
Ni juzi tuu wala sio Mbali.
Wataalamu wa mambo yajayo...
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .
Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio...
Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.