tundu lissu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Letter from Birmingham Jail by Martin Luther King Jr. vs Letter from Ukonga by Tundu Lissu

    Letter from Birmingham Jail The "Letter from Birmingham Jail", also known as the "Letter from Birmingham City Jail" and "The Negro Is Your Brother", is an open letter written on April 16, 1963, by Martin Luther King Jr. It says that people have a moral responsibility to break unjust laws and...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Baba Asikofu Joseph at Mwingira Toa neno la Uzima wa Lissu

    Baba Asikofu popote ulipo POKEA salamu Yangu sifi leo Muuumini wako mwema. Baada ya salamu nakuomba Baba utoe Neno dhidi ya Mh Tundu Lissu aliyenusulika kuwa kwa risasi 16 Sasa ana kesi ya uhaini ambayo akipatikana na HATUA adhabu yake ni kunyongwa mpaka afe. Baba Asikofu Mimi muumini wako...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtu yeyote atakayemuumiza Lissu mwisho wake ni aibu. Lissu ni mkakati wa Mungu inevitable

    Nimewahi kusema hili na ninalisema tena hapa. Lissu kakàa gerezani uso wake umenawiri, ana furaha lakini waliomtupa gerezani wamekosa furaha kabisa. Mtu yeyote bila kujali cheo alicho nacho, mali alizonazo kama akipigwa pigo la ufahamu anakosa furaha na amani na mtu anapokosa amani tayari vita...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya. Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deus Kibamba: Nimeoteshwa, serikali wakati wowote inaweza kuja na "nole porescute" au "unwilling to continue" na kesi dhidi ya Tundu Lissu

    https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA mkoa wa kichama, Kinondoni - DSM, ndugu Sunday.. Mjadala umejikita kujadili agenda ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Tundu Lissu, John Heche na wengineo. Jipeni moyo, msikate tamaa

    Nashukuru sana waheshimiwa Tundu Lissu, John Heche na wapigania uhuru wengine wa CHADEMA. Jipeni moyo, msikate tamaa. Inawezekana siku ile unayokata tamaa ndo siku ya kukamilika kwa ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na ugumu wa safari na nature ya watu wengine kuwa na interest tofauti...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazomfanya Tundu Lissu kuwa shujaa wa taifa la Tanzania. Ndani na nje ya nchi amepata sifa kubwa

    Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika. Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno. Kuwa Mzalendo wa kweli.
  8. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

    Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa. Ni suala la muda tu. Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Hoja kuu za Tundu Lissu kwanini No reform No Election -Wanjira

    Wakati Nasoma Medicine kama undergraduate , niliamini Human anatomy ni one of the most complex areas of study in medicine ——The interconnected systems working together is a mythical thing. Nilipoanza kusoma Postgraduate upande wa Oncology nikagundua Cells Multiplications and Mutations ni the...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Katibu Mkuu you are doing Fantastic Job, Makamu Hongera sana. President thank you very much

    Kwenye kesi ya mheshimiwa Tundu Lissu Leo akiwa mahakamani kila mtu ana lake ambalo amelishika na kujifunza. Tumesikia mengi lakini Muhimu kwangu ni Maneno mazito kama hayo. Aligeukia Halaiki na kutambua uwepo wa watu muhimu sana kwake. Alisema; Katibu Mkuu you are doing fantastic job...
  11. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Fimbo ya Musa kwenye kulikomboa taifa teule la TZ

    Guys , tumuheshimu sana tundu Lissu. Jamaa UPINZANI wake anamaanisha… and for sure APEWE HESHIMA….wengi hatuwezi ijapokuwa tunataka mabadiliko…. It is wothless kuwa na UPINZANI wa bahasha za kaki huku watu wanakufa na kutekwa in a serious note . Mtu kama Ben Saanane ndio mazima….hatujapewa...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  13. S

    JamiiForums Tanzania I am sorry on behalf of my country- Tundu Lissu

    Hii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, Mhe. David Maraga mahakamani Kisutu leo hii. Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu. Mtu mwingine wangeweza tu kusalimiana na kuendelea na mazungumzo mengine. Pia, kauli hii ya Lissu ni aibu na fedheha kwa serikali.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Lissu

    John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kenya Babu Owino ataka Rais Samia apigwe marufuku ya kuingia Kenya kwa udhalilishaji

    Wakuu, Mambo yameendelea kupamba moto. Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ametaka Rais wa Tanzania Samia Suluhu apigwe marufuku kuingia nchini Kenya kwa sababu yoyote ile, kufuatia mvutano uliotokana na kuzuiliwa kwa mawakili watatu wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Lissu agoma kuzungumza na mawakili wake: Nimezungukwa na Askari, hii inawezekanaje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alivyogoma kuzungumza na Mawakili wake wakati Askari wamemzunguka. Lissu anahoji; "Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for consultation. Nikiwa gerezani askari wananizunguka. Hakimu amesema nibaki na mawakili wangu bado...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa ulinzi huu, polisi mnamtabiria Nini Tundu Lissu?

    Salaam! Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni! Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu inaendelea TBC kimya! Mpo kwa maslahi ya nani kama jambo kubwa linalogusa usalama wa taifa mnalifungia vioo?

    Wakuu, Kesi ya Lissu ni suala la kitaifa. Watanzania tuna maslahi nayo maana Uhain si na uchochezi wa kusumbua Watanzania na kufanya tukose amani ni suala serious sana (hata kama tunajua ni uongo😂😂😂), sasa mbali na haya yote TBC, televisheni ya Taifa ni kama wapo ulimwengu mwingine! Yaani ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona wanaharakati na mawakili kutoka Marekani, Ulaya na Afrika Kusini wakaanza kumiminika kufuatilia kesi ya Lissu

    Hiki ndio nachokiona kina kuja siku za usoni ambapo kuna uwezekano mkubwa hii kesi kuwa ni moja ya kesi maarufu na ya kihistoria unless wanaifuta ingawa teyari kuna damage kubwa mpaka sasa. Hawa wanaharakati wana mtandao mkubwa sana duniani na wa hapa Afrika ndio watakuwa wa kwanza kufika...
Back
Top Bottom