tundu lissu

  1. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU: Safari ya Mchoma Mwiba wa Mfumo, Msimamo Usioyumba, na Ndoto ya Tanzania Mpya

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake. Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shauri la Lissu kupinga mashahidi wa Jamhuri kufichwa kutolewa Agosti 12,2025

    Wakuu! Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo tena anapanda kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya shauri lake la maombi ya jinai alilolifungua mahakamani hapo. ‎Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika...
  3. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Matukio & maonevu 8 yanayofanana ya donald Trump na Lissu yaliyosababisha Trump kuweka historia adimu ya kurudi ikulu ya Marekani. Lissu ataweza?

    Wanajf, Mwaka juzi na mwaka Jana nilifuatilia uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2024 kwa miaka miwili mfululizo. Na sasa nafuatilia uchaguzi wa hapa kwetu Tanzania. Nimegundua kuwa Kuna matukio 8 yanayofanana kwenye Kesi na Figisu za Trump na Lissu. Mambo hayo yalisababisha Trump kuweka...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ninasema na nitasema daima, Mchawi wa Maendeleo ya Tanzania ni Serikali ya CCM, Mwenendo wa Shauri la Tundu Lissu unathibitisha haya

    Uhuru wa mfumo wa haki ni moja ya kigezo muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa lolote lile. Ukipima kwenye mzani, mataifa yaliyo na mfumo huru wa haki yameonesha kuwa na maendeleo ya uhakika yasiyotetereka miaka na miaka. India, Brazil, Korea Kusini, Sweden, Norway, Finland, Marekani, Uingereza...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vibanda umiza vya Tarime vyajaa, kufuatilia Kesi ya Tundu Lissu

    Wakuu! Tarime mkoani Mara, limeshuhudia kundi la Wananchi mbalimbali wakiwa ndani ya Banda maarufu la "Juma Kahawa" linalopatikana Kata ya Bomani mtaa wa National Housing wilayani Tarime wakifuatilia mubashara kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inayoendelea kusikilizwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Nimechoka na ombi la ahirisho mara kwa mara, niko gerezani leo siku ya 97

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea mwenyewe kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili muda mfupi baada ya Mawakili upande wa Jamhuri walipoomba...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

    Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma" "Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa tena Mahakama ya Kisutu, hadi Julai 30, 2025

    Wakuu! Mwenyekiti CHADEMA Taifa Tundu Lissu kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu. Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe. Je, leo mwamba anaachiwa au atarudishwa tena 'kukamilisha na kumalizia...
  10. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mahakama kuhusu Kesi ya Tundu Lissu

    USHAURI WANGU KWA MAHAKAMA JUU YA KESI YA MHESHIMIWA TUNDU LISSU Mimi kama raia wa Tanzania ninayependa haki, amani, na utawala wa sheria, napenda kutoa ushauri wangu kwa heshima kwa Mahakama inayosikiliza kesi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu. Kama raia, natambua mamlaka ya Mahakama kama...
  11. naliwe

    JamiiForums Tanzania Lissu ni mwepesi sana kuingia kwenye mtego wa kisiasa, hafai kuwa kiongozi

    Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa, Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani, LISSU mnampa tu...
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Hivi tanzania Kuna wanaume kweli wameshika tundu lissu anaewapigania mwezi wa tatu mumekaa ndani wanawaletea muchezo ya tauni na nyie munakubali Kila siku munatawaliwa na wanawake munabaki kuongelea mitandaoni tundu lissu kakonda Kwa ajili yenu watanzania eti munasema Muna amani amani Gani...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akinukisha Mahakamani, Mvutano mkali na Askari Magereza waibuka, adai kuzuiwa kuongea na Mawakili

    Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, akiwa kizimbani Mahakamani, aliingia kwenye mvutano mkali na Askari Magereza wakati anajadiliana jambo na Mawakili wake ambao inadaiwa kuwa alizuiliwa kuongea nao Mahakamani hapo. Leo Julai 11, 2025, Lissu alifika Mahakamani hapo kwa ajili ya...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Taifa ambalo watu kama Tundu Lissu na Prof. Assad wanafanyiwa fitna ili wasiongoze Taasisi na Watu haliwezi pata Maendeleo ya kweli kamwe.

    Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili asiiambie ukweli Serikali mabaya yake kuhusu matumizi yasiyo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025. == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya kimataifa inajua opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee

    Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee. Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba. Je ni...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus na Mjumbe wa EU, arefusha ziara yake ili audhurie kesi ya Lissu

    Waziri wa mambo ya nje wa Cyprus bwana Constantinos Kombos, alitumwa kumwakilisha kamishina wa wambo ya nje katika umoja wa ulaya kuja Tanzania. Moja ya Marengo ya ziara hiyo ilikuwa ni kuangalia jinsi uchaguzi mkuu utakavyofanyika. Ratiba ya awali ilionesha bwana Kombos angeondoka July 10...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Tundu Lissu aliwahi kusema chama chake ni CCM

Back
Top Bottom