GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,860
Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu:
1. Ana IQ ndogo sana
2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu
3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu!
Hizo ni sifa au kejeli?
Yaani kile kijuso cha Dr Molel aongelee IQ ya lissu? Ule uso anaonekana kabisa ni Mongolian idiot
Yaani kile kijuso cha Dr Molel aongelee IQ ya lissu? Ule uso anaonekana kabisa ni Mongolian idiot