tundu lissu

  1. R

    Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  2. GE2025 Mvutano mkali wazuka kati ya Polisi na Mwandishi wa Habari Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Mvutano mkali wazuka kati ya Jeshi la Polisi na mwandishi wa habari asubuhi hii Kisutu, kabla ya kuanza kwa usikilizaji wa kesi ya uhaini Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inayomkabili Mwenyekiti wa Chama, Tundu Lissu. Fuatilia mwenendo wa Kesi hapa > Kesi ya Uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu...
  3. GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
  4. GE2025 Bwege: Ni lini Mbowe alienda Gerezani kumona Tundu Lissu?

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda Gerezani kumona mwanafunzi wake wa siasa Tundu Lissu?
  5. GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  6. GE2025 Bila Tundu Lissu Kuachiliwa na CHADEMA Kuruhusiwa, uhalali wa Rais Samia Suluhu utahojiwa

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni kweli. Rais Samia anaweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 tena kwa kishindo kweli kweli. Ni kweli. Mamilioni ya wanachama, mashabikiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wataenda kutiki kwenye sanduku la kura na kumpa kura Rais na kuandika historia ya...
  7. Kwani CHADEMA mna mpango gani mbona kama siwaelewi? Mnawezaje kuendelea kumuachia Mwenyekiti chini ya mafisi wakati mna jeshi kubwa?

    Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia. Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
  8. Zijue Star Chamber Courts: Mahakama za siri na mantiki zake kisiasa dhidi ya Tundu Lissu

    1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na utaratibu wa kusikiliza mashauri ya kipekee kwa siri (closed-door trials), hasa yale yaliyohusu masuala ya...
  9. B

    Kwa mujibu wa Humphrey Polepole, muda wa kufanya Reform bado upo na Tundu Lissu aachiewe

    Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake. Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama...
  10. GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

    Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole
  11. Sakata la kesi ya uhaini wa Tundu Lissu Askofu Kalikawe L. Bagonza: Mashahidi wa siri, si pigo kwa Lissu pekee, ni pigo la umma wote na mahakama!

    Na Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu ! Tumepigwa Wote. Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua na umma...
  12. A

    Viongozi mliopewa dhamana ni vyema mtumike huku mkijua kuna kifo muda wowote, na kifo hakichagui mtawala na asiye mtawala

    Ndugu zangu Viongozi mliopewa dhamana ni vyema mtumike huku mkijua kuna kifo muda wowote, na kifo hakichagui mtawala na asiye mtawala. Tambo na maneno ya shombo alizokuwa akimtolea na kumtendea Tundu Lissu, Ndugai asingejua kama anaweza kutangulia mbele ya haki na kumuacha Tundu Lissu mwenye...
  13. GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya...
  14. R

    GE2025 Yeriko Nyerere: CHADEMA Imekufa, Kubali kataa nuna lakini huo ndiyo ukweli, Niliwaambia Chama hiki mkimpa Tundu Lissu haitafika miezi mitatu

    Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA
  15. Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  16. Tusimunee Huruma Tundu Lissu Tuone aibu kwa kutokuwajibika katika nafasi zetu

    Alikoswa koswa kwa Risasi....Sasa tunataka akoswe koswe na Kitanzi..... Kuficha mashahidi ni utaratibu wa nadra unaoruhusiwa tu pale ambapo mazingira ya kesi yanaonyesha wazi uwepo wa tishio la moja kwa moja kwa usalama wa shahidi au chanzo cha taarifa (source) na hata hivyo, chanzo hicho...
  17. Je mpina akisimama na wasukuma, Tundu Lissu awe kati, Dr Samia angetoboa?

    Jibu swali hapo juu tu
  18. Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  19. GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
  20. Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka

    Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka. Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki. Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…