Salaam!
Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani,
Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea?
Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa.
Ninyi GEN...
Kuna namna nyingi za kudai reforms na kuipata sio tu njia moja ya maandamano na hili tumekuwa tukilisema humu kila siku tunaishia kupewa majina mabaya
Lakini waTz tumekariri njia moja tu ambayo imeng'ang'aniwa na wale wanaharakati bila kuangalia kama itakuwa effectively au vipi wao ni bora...
Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila...
STATEMENT FROM UKONGA CENTRAL PRISON, DAR ES SALAAM, TANZANIA
TO
THE WAShINGTON SUMMIT OF THE INTERNATIONAL DEMOCRACY UNION (IDU)
Honourable Chairman,
Honourable Vice Chairpersons,
Honourable Secretary General,
Esteemed Delegates from member parties
Friends and fellow Democrats from around the...
1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi
2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano
3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote...
Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote maandamano ya December 9 yasifanyike.
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Mhe. Tundu Antipas Lissu katika Gereza la Ukonga.
Katika siku za karibuni, viongozi wa Chama akiwemo...
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, amesema Askari wa magereza wamemzuia kuingia Gereza la Ukonga kumuona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
"Askari wa Magereza wamenizuia kuingia gereza la Ukonga leo kumwona...
Tundu Antipasy Mughway Lisuu
1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako
2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
Tukisema judiciary is 100,000,000% compromised mnasema tunawasema vibaya!
Katika hali ya kawaida, kesi hii ilibidi iwe imeisha
Mtu akisema with certainity kuwa you are operating under instructions atakuwa mwongo?
Why all this injustice?
Basi ufahamishe umma kuna nini kinazuia kesi isiendelee!
BARUA KUTOKA GEREZA KUU LA UKONGA.
Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu:
Kwa mujibu wa Taarifa ya awali ya watazamaji wa uchaguzi kutoka umoja wa Africa (AU);
1. Taratibu za kisheria za uchaguzi zilizotumika zilikuwa "...kinyume na viwango vya kikanda, kibara na...
Wakuu
Huu hapa ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gerezani
"Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo.
Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!
Alikuwa Mwenyekiti wa...
Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo
Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji
Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji.
Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu ameuandika kwa mkono wake mwenyewe.
Nimerudi kuwasanua mwenye masikio na asikie: asiyesikia la mkuu uvunjika guu.
Kuna wahuni wanapanga kutumia mwanya wa maandamano kuchochea kuni zaidi kwa maslahi yao binafsi. Sasa hivi ni wazi kabisa ni Lissu anayekuwa mhitajiwa.
Kuna mpango unaosukwa, wanamtandao wanasema, baada ya kuona...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliwahi kuzungumza kuhusu maridhiano akibainisha kuwa wanasiasa wanaotawala wanataka tuwe na upendo na turidhiane. Hata hivyo, aliongeza kuwa wakati huo huo, waliofanya uhalifu waziwazi badala ya kuchukuliwa hatua, wanapandishwa vyeo. Maneno haya...
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna...
Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule!
Hawa ndiyo the only "Checkmate" wa kututoa kwenye hili sekeseke na kutuliza hali ya hewa ya nchi...
Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inahusu kuzuia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 October 2025. Wote tumeshuhudia uchaguzi feki uliofanyika kwa kuwa na mahudhurio duni, vurugu zilizosababisha mauaji ya mamia ya wananchi kwa bunduki za polisi, kura feki kupigwa, mali za umma na watu binafsi kuharibiwa kwa...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mbunge Mstaafu wa Ubungo kupitia chama hicho). sauti ya Lissu imesikika ikisema...