tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  2. JamiiForums Tanzania Our learned brother Tundu Lissu in fluent English

  3. C

    JamiiForums Tanzania Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

    Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli! Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
  4. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu

    Hii ni Hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu aliyoitoa jana katika Maadhimisho ya Miaka miwili tangu aliposhambuliwa na watu wasiojulikana pale Dodoma. Mheshimiwa ameongea mambo mengi ikiwemo Suala la Tarehe rasmi ya kurudi Nyumbani, Mheshimiwa amesema watu wengi walimshauri arudi nyumbani kimya...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ambayo ccm na spika wao wanaikana na hawaijui: Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana 07 Septemba 2017 Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania. Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

    Tundu Lissu ametangaza rasmi kumuunga mkono Dk Rugemeleza Nshala kuelekea uchaguzi wa TLS. Dk Nshala ambaye anagombea kukirithi kiti cha Wakili Msomi Fatuma Karume cha Urais kwa sasa ndiye makamu wa Rais wa TLS. Katika andiko lake Lissu amemsafisha Dk Nshala kwa tuhuma zilizokuwa zikisambazwa...
  7. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: It takes More Than a Gun to Kill a Man

    Makala murua kabisa ya kaka mkubwa Jenerali Ulimwengu gazeti la The East African: Soma hapa chini kama unaelewa kiingereza - ila kama ni akina Msukuma wanaosema Reli ya "Stieglers Gorge" unastahili pole: Nukuu tu kidogo: "I suspect that the people who shot this man in September 2017 are the...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

    Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa. Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine. Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atoboa Siri ya aliyeamua yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili: Ulikuwa Msimamo wa Mbowe kuwa ni lazima nipelekwe Nairobi

    Tundu Lissu akipelekwa Nairobi Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki...
  10. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa. Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi...
  11. JamiiForums Tanzania TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...
  13. JamiiForums Tanzania Sehemu ya II: Jamhuri vs JamiiForums kuhusu Oilcom na Uchakachuaji mafuta/Ukwepaji Kodi bandarini Dar

    Habari Wakuu, Kutoka Kisutu, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William inaendelea kuunguruma leo Mahakama ya Kisutu. Kesi hii iliahirishwa jana, hivyo leo inaendelea. Kujua kilichojiri...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Habari waungwana, Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William imeanza kuunguruma Rasmi Mahakama ya Kisutu...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

    Ndugu wana JF, Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey Dilunga mwaka 2011. Mtakumbuka kuwa Tundu Lissu anaendelea kujizolea umaarufu kutokana na umahili...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Tundu Lissu agombee uenyekiti wa CHADEMA taifa

    Kwakweli nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya nani hasa anayeweza kufaa kuchukua nafasi ya Mbowe ya uenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiridhisha kuwa ndugu Tundu Lissu anaweza sana kuitwaa nafasi hiyo na kukiongoza chama kwa mafanikio zaidi kuelekea 2015. kimsingi Vigezo muhimu nilichotumia ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…