tundu lissu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu ambacho Bwana Mkubwa amekiandika kwa muda wa miaka 4 na miezi miwili sasa

    Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini. Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla, PEOPLE'S Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja. Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anamuunga mkono Cecil Mwambe ndio kisa cha Kubenea kuondoa jina lake

    Inasemekana kuwa mwanasheria mkuu wa Chadema wakili msomi Tundu Antipas Lisu anamuunga mkono Cecil Mwambe kwa nafasi ya mwenyekiti. Tetesi kutoka korido za Ufipa zinadai Tundu Lisu anapendelea zaidi kufanya kazi chini ya Mwambe kwa sababu siasa za zama hizi hazitaki mambo ya usiri usiri na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

    Sasa ni Rasmi.Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chao leo cha kikatiba kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika Jumatano Desemba 18. Katika kuonyesha kukomaa kwa Demokrasia ndani ya chama hicho Kamati Kuu iliwahoji wagombea...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ya Kujitoa Tanzania Mahakama ya Afrika

    Hii habari ya Tanzania ya Magufuli kujitoa kwenye Mkataba wa Uanzilishi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na za Wananchi ni jambo kubwa sana. Ni ushahidi mwingine wa wazi wa utawala wa kiimla unaokanyaga haki za binadamu na za wananchi wetu. Kwa Mkataba huo tuliouridhia siku za mwisho...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokwenda tunaweza kuja kuwa na sheria zitakazotungwa kwa lengo la kuwazuia baadhi ya watu tishio kugombea nafasi nyeti hapa nchini

    Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge. Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

    WanaJF Habari za hivi Punde ni kwamba Jabali la kisiasa Tanzania na Afrika Tundu Antipas Lissu amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa na tayari amekwisha jaza fomu na kuzirejesha. Akihutubia mkutano mkuu wa Kanda ya Kaskazini hivi Punde,Mwenyekiti wa chama Taifa Freeman...
  10. JamiiForums Tanzania Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

    Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya! Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu! VIVA TUNDU! Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula. Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
  12. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  13. JamiiForums Tanzania Our learned brother Tundu Lissu in fluent English

  14. C

    JamiiForums Tanzania Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

    Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli! Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
  15. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu

    Hii ni Hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu aliyoitoa jana katika Maadhimisho ya Miaka miwili tangu aliposhambuliwa na watu wasiojulikana pale Dodoma. Mheshimiwa ameongea mambo mengi ikiwemo Suala la Tarehe rasmi ya kurudi Nyumbani, Mheshimiwa amesema watu wengi walimshauri arudi nyumbani kimya...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ambayo ccm na spika wao wanaikana na hawaijui: Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana 07 Septemba 2017 Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania. Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

    Tundu Lissu ametangaza rasmi kumuunga mkono Dk Rugemeleza Nshala kuelekea uchaguzi wa TLS. Dk Nshala ambaye anagombea kukirithi kiti cha Wakili Msomi Fatuma Karume cha Urais kwa sasa ndiye makamu wa Rais wa TLS. Katika andiko lake Lissu amemsafisha Dk Nshala kwa tuhuma zilizokuwa zikisambazwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: It takes More Than a Gun to Kill a Man

    Makala murua kabisa ya kaka mkubwa Jenerali Ulimwengu gazeti la The East African: Soma hapa chini kama unaelewa kiingereza - ila kama ni akina Msukuma wanaosema Reli ya "Stieglers Gorge" unastahili pole: Nukuu tu kidogo: "I suspect that the people who shot this man in September 2017 are the...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

    Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa. Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine. Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atoboa Siri ya aliyeamua yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili: Ulikuwa Msimamo wa Mbowe kuwa ni lazima nipelekwe Nairobi

    Tundu Lissu akipelekwa Nairobi Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…