tundu lissu

  1. E

    Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo. Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
  2. Sina shaka na Tundu Lissu, nina shaka na Katiba ya chama chake

    Ndugu wapendwa salaam, leo wakati nawaza nani wa kumpigia kura, pamoja na kuona TAL anaweza kuongoza nikiwa na maana ya kusimamia katiba na Sheria za nchi kuongoza kama Rais jambo ambalo ni udhaifu wa mgombea wa CCM JPM , wakati udhaifu wa TAL ni kwamba tusitegemee maendeleo makubwa ya kiuchumi...
  3. GE2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

    Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii. Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu...
  4. M

    GE2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

    Na: George Kabadi Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili. MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu...
  5. D

    GE2020 PICHA: Tundu Lissu Misungwi, maelfu ya watu wakishuhudia mkutano wake

    Mkutano: Maelfu ya watu Wilayani Misungwi wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Tundu Lissu Nitaweka link ili mumfuatilie live akiwa Misungwi muda huu. Wakuu najaribu kuweka link inagoma ila mkutano upo live ndani ya Dar mpya online tv Lissu anasema hivi 1. Wagombea wote wa Chadema ngazi ya...
  6. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio. Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika ========...
  7. GE2020 ACT-Wazalendo na imani haba kwa mgombea wao Bernard Membe

    Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao. Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
  8. GE2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

    Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais. Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi...
  9. D

    GE2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

    Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
  10. GE2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  11. GE2020 CHADEMA na Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu, wahakikishieni watumishi wa Umma usalama wa ajira zao

    Wana JF; 1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs. 2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
  12. P

    GE2020 Tuungane Kumwombea Tundu Lissu ili ashinde Uchaguzi hapo Oktoba 28

    Karata nyingine ya ushindi kwetu ni kuungana na kuomba ili mpenda haki na amani, mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aweze kushinda kwa kishindo hapo Oktoba 28. Huu ni wito kwa watakatifu wote, wapenda haki, wapenda amani, wapenda usawa, na wapenda kweli kuungana na kumwombea Lissu...
  13. GE2020 Tafakari ya Kina: Tundu Lissu akifuta kodi ataendeshaje nchi?

    Naendelea na mada zangu za Kumuunga mkono Ndugu Tundu Antipasi Mughai Lissu kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kwa sababu namuelewa. Ili kuweka kumbukumbu sawa mimi sio mwanachama wa CHADEMA wala CCM na wala mimi siamini katika ITIKADI za chama cha CHADEMA. Tofauti yangu...
  14. GE2020 Tundu Lissu ni toleo jipya la Magufuli with all bugs fixed, mpeni kura zenu

    Kwanini ninafikiri Tundu Lissu anatosha zaidi ya Magufuli? Kuna watu ambao wanasema kwamba KURA ya MTU ni siri.Pamoja na hayo ni lazima niweke rekodi sawa sawa ili kila mtu atambue kwamba Ulipofika wakati wa kuhesabiwa nilisimama na kuhesabiwa. Mimi sio Mwanachama wa chama cha CHADEMA na hii...
  15. M

    GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu. Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania katika mji wa Katoro Jimbo la Busanda. Mkoa wa Geita ni nyumbani kwa mgombea wa CCM John Magufuli...
  16. GE2020 Kuelekea Oktoba 28, 2020: Tundu Lissu atalisomba kundi la wasio na maamuzi kwa kishindo

    Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki. Kuna lile kundi linalokata shauri dakika za mwisho. Mara nyingi hawa ni watu wenye shughuli zao, wasomi, wakulima na...
  17. R

    GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  18. D

    GE2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

    Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia. Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea! Video: Katoro Geita
  19. F

    GE2020 Ndani ya mwezi mmoja tu Tundu Lissu ameweza kufanya aliyoshindwa Magufuli kwa miaka mitano

    Tunajua kwamba hata Magufuli anaposema "Nitajenga barabara" haimaanishi kwamba yeye ndiye mwenye hela au kwamba atakuwa saiti akijenga. Anatumia vyombo vilivyopo kujenga barabara n.k. Tundu Lissu amefanikiwa kwa ushawishi wake na umahiri mkubwa wa kujenga hoja zinazowafanya waliopo madarakani...
  20. GE2020 Ukiondoa Wana - CHADEMA na wafuasi wake mwenyewe, Tundu Lissu atapata kura nyingine nyingi kutoka kwa hawa

    Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa. Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…