tundu lissu

  1. D

    GE2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

    Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti. Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
  2. GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  3. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

    Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
  4. GE2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

    Wakuu Salaam; Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani? Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje. Jana pia Polepole kalilia hicho. Mgombea Urais...
  5. Z

    GE2020 Tundu Lissu baada ya Uchaguzi

    Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba. Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini juu ya hatma ya wagombea hawa baada ya uchaguzi kuisha. Kwa upande wa Lipumba, kwa vile amekuwa...
  6. GE2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi . Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya...
  7. M

    GE2020 Tume imemwita Tundu Lissu, lakini haina mamlaka wala uwezo wa kumuadhibu

    Tumetangaziwa kwamba Tundu Lissu ameitwa kujieleza kwa nini anasema wataingia barabarani. Suala hili linachiambuliwa kisheria namna hii. Katiba yetu inasema katika ugombea urais Tume ikishamtangaza mtu mshindi basi haiwezi kuhojiwa na chombo chochote duniani. Hata kama Tundu Lissu atapata kura...
  8. D

    GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Aisee haya mambo eti ya nunua nunua kwanza yanaikuza bure Chadema, unajikuta umenunua garasa halafu linakuwa replaced na CHUMA! Emb anzia Momba, Sumbawanga mjini, Mbeya mjini, Iringa mjini, Njombe mjini, Bikoba mjini, Mara yoteee, Nyamagana, Shinyanga, Arusha mjini, Karatu,Hai, Rombo, Handeni...
  9. D

    GE2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

    Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu. Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu...
  10. GE2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

    Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli. Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote...
  11. GE2020 Tundu Lissu akiwa Sirari

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote. Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo...
  12. W

    GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
  13. GE2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

    Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea. Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
  14. M

    GE2020 Tundu Lissu kuzuiwa kutumia Chopa yawa Shubiri kwa CCM

    Tundu Lissu is talk of the Town au kwa lugha yetu Tundu Lissu ndiye Habari ya Mjini kwa Sasa. Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameteka nyoyo za Watanzania na ukweli kabisa bila kuongeza chumvi Tundu Lissu ndiye mgombea wa Urais mwenye mvuto kuliko mgombea mwingine yeyote katika...
  15. GE2020 Yaliyojiri kwenye mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mara

    Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio . Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika ========= UPDATES 1...
  16. Tundu Lissu asipokuwa Rais nitahama nchi

    Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana. Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea...
  17. C

    Tundu Lissu alisema: Kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali unahitaji akili pekee ili upate pesa, what a great thinker we have?

    Wanachama wa JamiiForums nilipotea kidogo maana nilighafilika kuona nyuzi zangu zote kuhusu kumkampenia Tundu Lissu na kusema Magufuli hafai zimefutwa. Leo nimekuja na maneno machache aliyoyasema Lissu akiwa na waandishi wa habari kwamba "kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali...
  18. GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mwanza na Mara

    Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na baadaye ataingia mkoani Mara Kama kawaida yetu leo tena tutaendelea kuwaletea yote yanayojiri kote...
  19. Q

    GE2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

    "Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu #“Kutakua na Uhuru kamili wa vyombo vya Habari, katiba yetu haina neno ISIPOKUA, kutakua na Uhuru wa maoni, kutakua na Uhuru wa...
  20. M

    GE2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu (CHADEMA) na Mkutano Mkubwa wa hadhara Musoma Mjini

    Ni zamu ya Musoma leo. Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo. Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa. Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…