Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa.
Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema.
Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli kupitia kwa wapambe wake.
Natumai ana ushahidi wa anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa...