The Tunda (Spanish: La Tunda) is a myth of the Pacific coastal region of Colombia and Ecuador, and particularly in the Afro-American community of the Chocó department, about a shapeshifting entity, resembling a human female, that lures people into the forests and keeps them there.
It is capable of changing its shape to appear in the form of a loved one, as in the likeness of a child's mother, to lure its victims into the forest and feed them with shrimps (camarones peneídos) to keep them docile. This is called entundamiento and a person in this state is entundado(a).Her shapeshifting abilities are said to be imperfect, as this doppelgänger of sorts would always have a wooden leg in the shape of a molinillo, or wooden kitchen utensil used to stir hot drinks such as chocolate or aguapanela. The monster, however, is very cunning when trying to hide this defect from its would-be victims. In other versions, it appears to male loggers or hunters working deep into the jungle as a beautiful woman that tries to lure a man away, so it can reveal its hideous nature and suck his blood or devour him as a wild animal.
Taifa letu kwa sasa kuna uchaguzi lakini kuna jambo ambalo si tu kwamba lakijinga bali ni lakishetani sana, katika mitazamo ya kawaida unaweza ukadhani vijana wamevutishwa bhangi lakini uhalisia ni kwamba shetani ana nguvu sana, kwa tabia ambazo watu hasa vijana...
Na: McWenceslaus
01/10/2020.
Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua Rais, wabunge na...
Na: McWenceslaus
01/10/2020.
www.ccmmpya.org
Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua...
Kwa jina jingine hujulikana kama (Tope tope) Nadhani ni kwa sababu ya umbile lake hasa likiwa limeiva huwa laini mfano wa tope.
Huenda sura yake ikawa mbaya kwa muonekano, lakini ni tunda lenye faida nyingi sana ikiwemo uponyaji wa magonjwa mbali mbali.
NAMNA YA KUTUMIA STAFELI
Stafeli...
Za asubuhi members,
Jamani kuna haka katabia kakuletewa mboga nyumbani na wale wakina mama wajasiriamali; ni vyema wanapata hela na riziki lakini kuna tabia mtu anapiga hodi utasema anakudai kwa lisauti likubwa zito utasema sasa imekuwa ugomvi au nini.
Sasa mbaya zaidi ndiyo muda ambao...
Tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, tayari kumejitokeza viashiria vya kuvuruga na kuhujumu uchaguzi kunakofanywa na vyombo vyenye dhamana ya kusimamia uchaguzi na amani ya Taifa kwa maana ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na Jeshi la...
Wanaume wengi wamekuwa wahanga wa kunyimwa tendo kutoka kwa wapenzi wao. Imekuwa ikitumiwa kama silaha na wapenzi wao ili kufanikisha malengo yao. Mfano labda mmekosana au hukutekeleza jambo fulani, basi mwenzako atakuwekea ngumu kwenye kupata tendo.
Na hii upelekea wanaume wengine kukimbilia...
Wakati nasoma kulikuwa na dada mmoja class (chuo) aliniazima calculator yake akaenda nayo chumbani kwake kwa minajili ya kwamba ataniletea usiku saa tatu kwenye discussion (tulikuwa na test ya QMS kesho yake).
Ilipofika usiku tumepiga discussion demu hajatokea mpk saa tano usiku na mie...
CCM imefanya mambo makubwa ndani ya hii miaka 5 ya Rais Magufuli na hili wananchi wote wanalijua.
Tundu Lissu amekuwa ni mtu wa kulalamika na kushutumu huku akipinga kila jambo litendwalo na CCM. Nampa tu angalizo kuwa urais wa JMT siyo sawa na ule wa TLS, watanzania watataka kusikia malengo...
Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser
Picha zake zimeshtusha mashabiki kutokana na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa miguuni.
Wamehoji pia ukimya wa mwanadada huyu ambaye kwake Social Media ilikuwa kama kifungua kinywa...
Wanabodi,
Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda...
Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni pale unapolamba mikono….
Bungo kiutaalamu lazima ulitie kidole ndio uliweke mdomoni. Likiwa mdomoni...
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.
Unajua katika life unaweza tongoza demu ukatumia hata miaka saba au minne. Yaani unaweza tongoza dem kuanzia la kwanza lakini ukaja ukamla mkifika la saba. Pia unaweza tongoza demu kuanzia kidato cha kwanza...
Heshima kwanza,
Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki)
Shamba lipo kilometer nne kutoka barabara kuu iendayo Dar es salaam na Mombasa.Shamba hili lipo eneo la ukanda wa tambarare Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.