Truth and reconciliation... Ukweli na maridhiano huletwa na haki na wajibu baada ya hapo ndio hupata matokeo ya tunda la amani
Kuna kitu tunakilazimisha kifanyike hata kama hakiwezekani kabisa! Tumepanda magugupori lakini tunataka tuvune mahindi mtama na uwele
Tumefuga nguchiro na panyabuku...