tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  2. JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  3. JamiiForums Tanzania M-Koba na M-wekeza?

    Je, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
  4. JamiiForums Tanzania Life Code: Ukitaka kuishi muda mrefu duniani tumia life style za kizamani

    Code 001.
  5. JamiiForums Tanzania Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  6. JamiiForums Tanzania Naweza tumia E-office kwa kutumia simu..?

    Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Habari zenu wanajamii. Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year). Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply. Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
  10. JamiiForums Tanzania Tumia pesa kupata pesa

    ujanja ni pesa yako isitoke hivihivi, kama nimekosea mtaniambia
  11. JamiiForums Tanzania Kama unataka taa za nje ziwe zina jiwasha zenyewe giza likiingia tumia hiki kifaa haya wale wa smart house hii inakuhusu

    Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch. 🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi: ✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira. ✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tumia hizi 48 Laws of power kwenye bishara yako part 2

    13. Ask for help based on mutual gain. Huwa tunasema, ukitaka msaada toa msaada kwanza. Mfano mwenzako anauza vitamba ila ni fundi cherehani, mwambie utakuwa unanunua vitambaa kwake na yeye wakija wateja awe anawaelekeza kushona kwako. Au kwa kuingia patnership ya kugawana wateja, Nakutangaza...
  13. JamiiForums Tanzania Tumia hizi 48 Laws of power katika biashara yako

    1. Never outshine your client Mfanye mteja wako aone bidhaa au biashara yako ipo kwa ajili yake. Asione kama anakupatia pesa yake bali ajione atapata faida kubwa sana kulinganisha na huduma anayoipata. Tunafanya hivi kwa kutoa huduma katika mfumo wa packages ili mteja aone amepata vitu vingi...
  14. JamiiForums Tanzania Mtu anaye tumia miwani inayoficha macho yake sio wa kumsikiliza

    Wafanyabiashara ambao wana macho yao au wenye miwani ya macho unaweza kupata ukweli. Ila hawa wa kuvaa miwani utazani wana turekodi sisi wakati tuna warekodi basi muwe mnapunguza kuwasikiliza.
  15. JamiiForums Tanzania Unafanya Programming au Advanced Video Editing? Tumia hizi machine

    Kwa kipindi sasa nimekuwa nafuatilia computer nzuri kwa upande wa programming na video editing. Sio mtaalamu wa video editing ila napenda kufanya tu for fun. Kwa kuwa nimebobea kidogo kwenye Windows na Linux toka chuo, nikaona best option kwa sasa ni kutafuta computer yenye gpu nzuri au ninunue...
  16. JamiiForums Tanzania Tumia Mkaa Kuzuia Chuma Ulete

    Kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kuwa, wanauza pesa nyingi lakini mwisho wa biashara hawaoni kitu. Lawama imetupiwa katika maeneo mengi, lakini eneo mojawapo ni eneo la uchawi wa chuma ulete. Inaaminika kwamba, uchawi wa chuma ulete ni aina ya uchawi ambao mtu huja dukani kwako...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ewe Mmiliki wa Shule/Chuo Tumia Njia hizi MPYA Za Kuandaa Hesabu Za Biashara Yako 2024

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  18. JamiiForums Tanzania 1Timotheo 5:23 Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo.Ni wakati sasa Wakristo tukubaliane kuwa pombe ni halali.

    Iwapo wewe hutumii kitu basi usipande mibarini na kuanza kuhubiri watu kuwa pombe ni dhambi. Kila mtu kashajiwekea mipaka yake wapo wapagani kabisa hawajawahi kuambiwa na kiongozi yeyote wa dini kuwa pombe ni dhambi lakin automatic tu hawanywi hiyo ni mipaka yao wamesha jiwekea wenyewe mfano...
  19. JamiiForums Tanzania Kama una chumba kimoja tumia ubunifu huu

    Kwa hisani ya wabunifu wa kichina hawashindwi kitu. Unaweza ukatengeneza kitanda cha juu cha chuma au kama ni yako unafunga juu ya zege kitanda then chini ya kitanda unaweka dining table, au masofa au studying place kwa watoto wako. Unakuwa umesave space ya room yako namna gani,hii imeenda...
  20. JamiiForums Tanzania Usichukue Nguvu zako kumpa nguvu Mwanamke (empowering woman). Bali tumia nguvu alizonazo kumuwezesha

    Hamjambo wote! Usije isahau hii! Kamwe usitumie nguvu zako kumuongezea mwanamke ili kumwezesha. Hilo ni kosa. Na wengi wao wamelijutia na wanaendelea kulijutia. Usipokuwa tumia nguvu alizonazo mwenyewe huyo mwanamke ajiwezeshe mwenyewe. Hiyo ni Kanuni ambayo ni universal Law. Na sio tuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…