Habarini za leo wadau,
Kwa kawaida bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,linafanya kazi ya kutuwakilisha wananchi
kwa sababu hatuwezi watu wote kwa ujumla wetu kwenda kutunga sheria za nchi au majukumu mengine yanayo fanywa na bunge.Tunahusika kwa njia ya kuchagua wawakilishi wetu ambao ni...