tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi umekamilika kabla ya tume kuanza kazi

    Uchunguzi umekamilika kabla ya tume kuanza kazi.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Tume ya ndani ianze halafu Tume kutoka nje zitafuata

    Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa itaanza kazi na Tume nyingine kutoka nje ya nchi zitakapokuja kwa ajili ya Uchunguzi zitaikuta Tume yetu ikiendelea. *** Ni kama kuna shinikizo fulani, vinginevyo angesema hatuhitaji tume yeyote kutoka nje. Pia Soma: Rais...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

    Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

    Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani? Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani? Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform? Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi? Je itawapata...
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tume ya Uchunguzi ndiyo italeta ajenda kwenye Tume ya Maridhiano

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano. Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
  6. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Leo kuzindua Tume naipinga kipengele kwa kipengele

    HOJA YA MWANZO: Tume haina jipya… CCM kaeni na Chadema… 1: Tume hii haitakuwa na jipya kwa sababu ni tume ya kufunika ukweli, si kuutafuta. Hakuna tume inayoundwa na mtuhumiwa na ikaweza kutoa majibu ya kweli. Huwezi kuwa kiongozi wa tukio, mshukiwa wa kosa, mwigizaji wa tukio, halafu ujiteue...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tume ya mchongo imelazimishwa kuundwa alafu uzinduzi majibu analeta samia mwenye hapo hapo kwenye uzinduzi.

    Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sheria ndiyo imenipa mamlaka kuunda tume kufanya uchunguzi

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania The so called tume, kama ingelikuwa let say inakubalika, ichunguze mauaji ya HALAIKI na si UVUNJIFU WA AMANI

    Bado kuna denial kutoka serikalini na hususan Mkuu. Haya let us pretend kuwa tumeikubali tume ingawa kamwe haitakubalika. Basi kazi yake iwe ni KUCHUNGUZA MAUAJI YA HALAIKI NA SI UVUNJIFU WA AMANI. Issue hapa ni mauaji ya HALAIKI, mengine yatakuja by default in the cause of kuchunguza MAUAJI...
  10. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  11. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mohammed Chande Othman: Ajiuzuru kutoka katika Tume feki!

    Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda. Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na damu za raia alizomwaga kwa sababu ya uroho wa madaraka! Usikubali! Mikono ya Samia imejaa damu za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Usuluhishi ni kesi ya nyani kapewa ngedere. Wote ni Wana mtandao

    Wajumbe wote wa Tume ni waliokuwa wateule wa JK na Mama Samia. Mtuhumiwa namba Moja ni Mama Samia mwenyewe tena akiwa hana uhalali wa kuunda tume yenyewe. Mama anawadharau sana hadi Wana CCM wenzie wallah. Wale wanaojiita wazalendo niliwaambia mapema kuwa kura zikipigwa tu wameshindwa vita...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT wazalendo: Tunapinga Tume iliyoundwa kuchunguza matukio wakati wa uchaguzi. Si tume ya haki bali kuficha makosa na kuwalinda wahusika

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata iliyotangazwa leo. Tume hii inayojumuisha wajumbe wote kutoka ndani ya Tanzania, wakiwemo maafisa wa serikali...
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tume ya Maridhiano isikose Mashehe!

    Mashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nawashauri Wajumbe wa Tume ya Maridhiano walioteuliwa na Serikali wakatae uteuzi au wajiuzulu.

    Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti. Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kabla ya hizo Tume zako, tunaomba majibu ya tume dhidi mauji ya Mzee Ally Kibao. Kimya mpaka sasa

    Watanzania sio wajinga hakuna cha Tume wala nini unaunda tume kwenye mambo ambayo yako wazi. Tupe kwanza majibu ya tume uliyounda kuchunguza kifo cha mzee Ally Kibao? Nashangaa unakimbilia kuunda Tume wakati Wewe ni batili kua hapo ndo umesababisha vifo vya watu maana walikua...
  17. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Usuluhishi imeshaundwa au Itaundwa?

    Wakati nasikiliza Ile hotuba ya Mama Samia,Mwanzoni nilisikia akisema ameunda tume baadae ikaonekana itaundwa tena kwa masharti. Nisaidieni kujua kwa jinsi mlivyoelewa nyie. Hivi tumwite Rais au Mama Samia tu inatosha?
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Tume ya Enquiry Haijaundwa - Haya Yafanyike kwa Haraka

    Wanabodi, 1. Waliotekwa wote waweze kuachiliwa na kuwarejesha katika familia zao. 2. Miili ya wale wote waliokufa kwa kupigwa risasi warejeshewe familia zao wakazike. 3. Mafisadi waliopata Magari ya kifahari pasipo chanzo kinachoelezeka wafilisiwe. 4. Waliohusika kupiga risasi raia wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
Back
Top Bottom